Mnaishi nao vipi huko maofisini kwenu?

Mnaishi nao vipi huko maofisini kwenu?

Sijaelewa hicho cheo cha PC. Lakini inaonekana ni msaidizi wa Boss, na amekuzidi cheo.

Kuna kanuni moja inasema Usipo jituma utatumwa. Usipo jisimamia utasimamiwa. Kwa uzoefu wangu wabongo wengi ni kama hatupendi kujituma na hatupendi kuambiwa au kukosolewa. Sasa mkipata mtu ambaye anasimamia kazi ziende mna muita kiherehere. Ila ungefanya kazi na wazungu au wachina ndo ungejua haujui.

Kama anachosema ni lweli na kina mantiki basi inabidi mmuheshimu sana huyo PC
ni ps nilikuwa namaanisha
 
yaani unakuta ps wa boss ni wakiume af anakuwa na kihelehele sehemu hausiki teyari kashaleta mdomo yaani kama na yeye ni boss yaan anavaa vyeo vya boss nae anakuwa boss mfano huyu wa kwetu akiona hana kazi bas anakuja mpaka sehemu ambazo yeye hausiki anakuja anafoka sana mara oh mbna hapo pamekaa vibaya mbna hamjapanga mara kile sio mahali pake kikinunuliwa kitu anakuja kutoa msisitizo olewenu mharibu na hiki pia yaani nashida anapenda kutukuzwa kazi anakuja kuwasimamia ase ni kichomi af mwanaume
Kuna msemo unasema TATIZO SIO BOSS TATIZO WAPAMBE NUKSI😝😝😄😄 mkuu hao wapo Kila kona
 
Back
Top Bottom