nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Kwani huu utaratibu wa cha mwanaume chenu cha mwanamke chake umetoka wapi? No hii kitu sijapenda.
Wife kaanza kushika hela hataki niguse hata mia wala itumike kwa kununua hata robo ya sukari. Kachonga kibubu anaiweka humo zote.
Daah leo nimemkoromea kaanza kumaindi nimemwambia akitaka hayo maisha arudi kwao.