Mnaishi vipi na wanawake wenu wakiwa wabinafsi?

Mnaishi vipi na wanawake wenu wakiwa wabinafsi?

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Kwani huu utaratibu wa cha mwanaume chenu cha mwanamke chake umetoka wapi? No hii kitu sijapenda.

Wife kaanza kushika hela hataki niguse hata mia wala itumike kwa kununua hata robo ya sukari. Kachonga kibubu anaiweka humo zote.

Daah leo nimemkoromea kaanza kumaindi nimemwambia akitaka hayo maisha arudi kwao.
 
kwanini huu utaratibu wa cha mwanaume chenu cha mwanamke chake umetoka wapi? no hii kitu sijapenda. wife kaanza kushika ela hataki niguse hata Mia wala itumike kwa kununua hata robo ya sukari. kachonga kibubu anaiweka humo zote. daah Leo nimemkoromea kaanza kumaindi nimemwambia akitaka hayo maisha arudi kwao.
nunua kibubu kipya umbadirishie.Atajua chum ulete
 
Wako hivyo, waliumbwa hivyo..hata ukitimua labda uwe single milele - ukiingia popote ni yale yale.
1.Ishi nao kwa akili
2.Usiweke matarajio kwake
3.Timiza majukumu yako ya msingi, jifanye kama hela zake huzioni.
4.KUWA NA KIFUA
 
Kwani huu utaratibu wa cha mwanaume chenu cha mwanamke chake umetoka wapi? No hii kitu sijapenda.

Wife kaanza kushika hela hataki niguse hata mia wala itumike kwa kununua hata robo ya sukari. Kachonga kibubu anaiweka humo zote.

Daah leo nimemkoromea kaanza kumaindi nimemwambia akitaka hayo maisha arudi kwao.
Wanawake wote wasomi na wasio wasomi ni Wabinafsi.
 
Wako hivyo, waliumbwa hivyo..hata ukitimua labda uwe single milele - ukiingia popote ni yale yale.
1.Ishi nao kwa akili
2.Usiweke matarajio kwake
3.Timiza majukumu yako ya msingi, jifanye kama hela zake huzioni.
4.KUWA NA KIFUA
Hahahaaa
 
Ukiamua kuingia huko ndani mwanaume kama mwanaume juwa wewe ndiyo injini ya familia nzima,kila huduma itapatikana humo ndani lakini atakayeonekana ni mwanamke,kubaliana na hali ilivyo.
 
Mna bahati mbaya kupata watu wabinafsi namna hiyo, nina ndugu yangu nae the same...hata chumvi, hata akipita sokoni akanunua groceries, akirudi home jamaa atapewa bill yote. Nikimuuliza shem yeye anachangia nini jamaa anasema hakuna hata....

....mimi nikamwambia itakuwa alimlea hivyo, matokeo yake ndio hayo. If you wake up at 5am, come back at 6pm...halafu uniletee hizo pigo, utakaa home ulee watoto.
 
Wako hivyo, waliumbwa hivyo..hata ukitimua labda uwe single milele - ukiingia popote ni yale yale.
1.Ishi nao kwa akili
2.Usiweke matarajio kwake
3.Timiza majukumu yako ya msingi, jifanye kama hela zake huzioni.
4.KUWA NA KIFUA
Hapo namba 3. ndo nitamuharibu kabisa mkuu sababu ameshaingia roho ya kiburi. Sasa hapa ndani tutakua watawala wawili. no hii Imposible.
 
Back
Top Bottom