nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
nunua kibubu kipya umbadirishie.Atajua chum uletekwanini huu utaratibu wa cha mwanaume chenu cha mwanamke chake umetoka wapi? no hii kitu sijapenda. wife kaanza kushika ela hataki niguse hata Mia wala itumike kwa kununua hata robo ya sukari. kachonga kibubu anaiweka humo zote. daah Leo nimemkoromea kaanza kumaindi nimemwambia akitaka hayo maisha arudi kwao.
Mbinu ni zile zile ukiwa serious na kusupport humu kuna majininunua kibubu kipya umbadirishie.Atajua chum ulete
nimemwambia akitaka hayo maisha arudi kwao.
Duh changamoto sana, yani utadhani ni pepo fulani ivi uko nalo nyumbani.Wanawake wabinafsi sana Kwenye Swala la Kipato na Mali.
Mwanamke chake chake,
Cha Mwanaume pia chake... Hawa watu wabinafsi sana
Mwanamke ni Shetani 100%Duh changamoto sana, yani utadhani ni pepo fulani ivi uko nalo nyumbani.
Wanawake wote wasomi na wasio wasomi ni Wabinafsi.Kwani huu utaratibu wa cha mwanaume chenu cha mwanamke chake umetoka wapi? No hii kitu sijapenda.
Wife kaanza kushika hela hataki niguse hata mia wala itumike kwa kununua hata robo ya sukari. Kachonga kibubu anaiweka humo zote.
Daah leo nimemkoromea kaanza kumaindi nimemwambia akitaka hayo maisha arudi kwao.
HahahaaaWako hivyo, waliumbwa hivyo..hata ukitimua labda uwe single milele - ukiingia popote ni yale yale.
1.Ishi nao kwa akili
2.Usiweke matarajio kwake
3.Timiza majukumu yako ya msingi, jifanye kama hela zake huzioni.
4.KUWA NA KIFUA
Mkuu ndio umefika huku?Mwanamke ni Shetani 100%
Hapo namba 3. ndo nitamuharibu kabisa mkuu sababu ameshaingia roho ya kiburi. Sasa hapa ndani tutakua watawala wawili. no hii Imposible.Wako hivyo, waliumbwa hivyo..hata ukitimua labda uwe single milele - ukiingia popote ni yale yale.
1.Ishi nao kwa akili
2.Usiweke matarajio kwake
3.Timiza majukumu yako ya msingi, jifanye kama hela zake huzioni.
4.KUWA NA KIFUA