RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Sasa kama nihivo kwa nini nae(mwanamke) anaamka Saa 5AM anarudi jion 6PM kwakigezo alikua kazini. Hio kazi faida yake ni nini kwenye familia?.Jukumu la utafutaji ni la mwanaume. Timiza wajibu wako.
Labda pesa yake inatumika kununua kiwanja na kujenga private ili siku mkikorofishana ustukie kahamia kwake.Sasa kama nihivo kwa nini nae(mwanamke) anaamka Saa 5AM anarudi jion 6PM kwakigezo alikua kazini. Hio kazi faida yake ni nini kwenye familia?.
Kumbe Kuna wenzetu wanajiandaa na maisha baada ya ndoa.Labda pesa yake inatumika kununua kiwanja na kujenga private ili siku mkikorofishana ustukie kahamia kwake.
Utajua ujui we cheka tu na hawa watuKumbe Kuna wenzetu wanajiandaa na maisha baada ya ndoa.
HahahaPole sana mkuu, achana naye huyo hajitambui kama bado hujaowa usiowe siku ukiuumwa hato kusaidia tafuta mwengine mbona wanawake wapo kibao kigezo kikuu cha mwanamke mzuri ni kujali asipo kujali usiowe utakuja hata kuogongewa ndani chukua huu ushauri
Yaani hii sasa ni kuvizianaKumbe Kuna wenzetu wanajiandaa na maisha baada ya ndoa.
Mwanamke anashindwa changia may be ada kwa mtoto aliemzaa yeye, halafu udhani atachangia kwa lolote?.Utajua ujui we cheka tu na hawa watu
ada mbali mkuu, ukirudi unakuta deni la mkate wa 600 alinunua mkate wa dogo unaambiwa ni jukumu lako ilihali ye ela anayoMwanamke anashindwa changia may be ada kwa mtoto aliemzaa yeye, halafu udhani atachangia kwa lolote?.
Tuendelee kupambana.
Hahahahaaa wewe ni konyo kweli nimecheka kinomanunua kibubu kipya umbadirishie.Atajua chum ulete
Umeoa jiniDuh mnapata wanawake wa aina gani wakuu mke wangu ni tofauti sana akipata hela anaileta yote mezani tunapanga wote matumizi
πππππUtajua ujui we cheka tu na hawa watu
Tengua kauli yako mkuu, kuna wanawake na kuna wanawake wenye sifa ya kuvaa taji la kuwa mke hawa wapo wachache.Mwanamke ni Shetani 100%
tena jini maimunaUmeoa jini
Halafu baadae madogo wakikua wanakuambia hakuna zaidi ya Mama.ada mbali mkuu, ukirudi unakuta deni la mkate wa 600 alinunua mkate wa dogo unaambiwa ni jukumu lako ilihali ye ela anayo
Umemaliza kila kitu ila jamaa hatakuelewa anataka usawaa kwamba hela alinzotunza mwanamke watumie kwenye matatizo ya Nyumbani no way..Unamkoromeaje Shetani ? Wanawake n wabinafsi kwa asili. Nunua kila kitu, lipia Kodi, bills, ada chakula ili maisha yasonge. Usijisumbue kudai au kutaka haki. Haki wanayo wao. Hata akigoma kupika,, kufua nk usimpige. Ishi naye kama anaishi na kichaa. Ukishindana naye dunia itakuona una tatizo.
A man has spokenJukumu la utafutaji ni la mwanaume. Timiza wajibu wako.
SI mchezoIshi naye kama anaishi na kichaa
nipo online RUSTEM PASHA hizi tabia za ubinafsi, red flags zinaonekana mwanzoni kabisa mwa mahusiano sema wanaume wengi wanazi-ignore, mfanoada mbali mkuu, ukirudi unakuta deni la mkate wa 600 alinunua mkate wa dogo unaambiwa ni jukumu lako ilihali ye ela anayo