Mnaishi vipi na wanawake wenu wakiwa wabinafsi?

Mnaishi vipi na wanawake wenu wakiwa wabinafsi?

Sasa kama nihivo kwa nini nae(mwanamke) anaamka Saa 5AM anarudi jion 6PM kwakigezo alikua kazini. Hio kazi faida yake ni nini kwenye familia?.
Labda pesa yake inatumika kununua kiwanja na kujenga private ili siku mkikorofishana ustukie kahamia kwake.
 
Pole sana mkuu, achana naye huyo hajitambui kama bado hujaowa usiowe siku ukiuumwa hato kusaidia tafuta mwengine mbona wanawake wapo kibao kigezo kikuu cha mwanamke mzuri ni kujali asipo kujali usiowe utakuja hata kuogongewa ndani chukua huu ushauri
Hahaha
 
Mwanamke anashindwa changia may be ada kwa mtoto aliemzaa yeye, halafu udhani atachangia kwa lolote?.

Tuendelee kupambana.
ada mbali mkuu, ukirudi unakuta deni la mkate wa 600 alinunua mkate wa dogo unaambiwa ni jukumu lako ilihali ye ela anayo
 
Na wewe nunua Kibubu uwe unatumbukiza hela zako humo ila usiache kuwahudumia wanao.
 
Unamkoromeaje Shetani ? Wanawake n wabinafsi kwa asili. Nunua kila kitu, lipia Kodi, bills, ada chakula ili maisha yasonge. Usijisumbue kudai au kutaka haki. Haki wanayo wao. Hata akigoma kupika,, kufua nk usimpige. Ishi naye kama anaishi na kichaa. Ukishindana naye dunia itakuona una tatizo.
Umemaliza kila kitu ila jamaa hatakuelewa anataka usawaa kwamba hela alinzotunza mwanamke watumie kwenye matatizo ya Nyumbani no way..
 
ada mbali mkuu, ukirudi unakuta deni la mkate wa 600 alinunua mkate wa dogo unaambiwa ni jukumu lako ilihali ye ela anayo
nipo online RUSTEM PASHA hizi tabia za ubinafsi, red flags zinaonekana mwanzoni kabisa mwa mahusiano sema wanaume wengi wanazi-ignore, mfano

Kila siku mdada anakuomba umnunulie kitu flani, utamnunulia wee, siku ukimuomba yeye hata andazi la 500 hatokaa akupe, hiyo ni red flag

Mdada kuomba omba hela mda mfupi baada ya kumtongoza au kabla ya kumtongoza, ni dalili ya yeye kuwa na tabia ya ubinafsi, roho mbaya na uchoyo, ukimuoa hatochangia chochote for ur welfare
 
Mbinafsi ni kumnyamazia , kikubwa mahitaji yote yawepo ndani then akuna haja ya kumuwezesha chochote maana atajaa kiburi na hatakuwa na msaada wowote kwako . Mwache astruggle aone uchungu wa shillingi ulivyo
 
Back
Top Bottom