Mnaishi vipi na wanawake wenu wakiwa wabinafsi?

Wanawake wabinafsi sana Kwenye Swala la Kipato na Mali.
Mwanamke chake chake,
Cha Mwanaume pia chake... Hawa watu wabinafsi sana
Baadae wanataka mgawane mali wote sawa sababu metafuta wote😀😀
 
Wanawake wabinafsi sana Kwenye Swala la Kipato na Mali.
Mwanamke chake chake,
Cha Mwanaume pia chake... Hawa watu wabinafsi sana
Sio wote...wengine wana nyoyo safi unless umeenda kuoa upareni ama uchagani
 
Sasa kama nihivo kwa nini nae(mwanamke) anaamka Saa 5AM anarudi jion 6PM kwakigezo alikua kazini. Hio kazi faida yake ni nini kwenye familia?.
Umemruhusu mwenyewe kwa sababu ya udhaifu wako. Kazi ya mwanamke ni malezi ya familia, siyo utafutaji.
 
Hebu apply a no nonsense doctrine, kabla hajakomaa,
Usikubali kuwa dhaifu sana
 
Kunakuwa hakuna maana ya yeye kutoka kwenda kutafuta. Akae hapo home alee watoto nk
 
Hapo namba 3. ndo nitamuharibu kabisa mkuu sababu ameshaingia roho ya kiburi. Sasa hapa ndani tutakua watawala wawili. no hii Imposible.
Mkataze asifanye kazi, akibisha achana naye aendelee na maisha yake maana ameshindwa Ku submit kama mke. Baadaye atakuja kugundua kuwa pesa siyo kila kitu japo inatatua mambo mengi
 
🤣🤣😂
 
Una uhakika hauna michepuko bro ?? Wanawake huwa wabinafsi kwa mwanaume Malaya wanaamini utaenda kuhonga akikupa, kwahiyo atajitunzia kwaajili ya wanae na yeye basi .
 
Bado yupo home kuna kazi kaletewa aishone mkuu ni fundi, kapata wateja wawili pesa zote katia katika kibubu. nilikua na lengo nitafute frem kabisa lakini kwa hii tabia naanza kua na wasiwasi
Shukuru una mwanamke mpambanaji anajua kutunza pesa siku ukiwa hoi kitandani atavunja icho kibubu , wenzio wanawake zao wakipata pesa wanawaza mawigi ya laki mbili uko akamtambie shoga ake . Halafu pesa ya mwanamke ni kwaajili ya dharura usiipigie hesabu ivo , na umshauri aweke pesa UTT kibubu kinaweza ibiwa
 
Bado hujakomaa kuhusu kuwaelewa wanawake , kwanza inaonyesha unatumia ubabe kuipata pesa ake . Huwezi toboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…