Mnaishi vipi na wanawake wenu wakiwa wabinafsi?

Mnaishi vipi na wanawake wenu wakiwa wabinafsi?

Wanawake wabinafsi sana Kwenye Swala la Kipato na Mali.
Mwanamke chake chake,
Cha Mwanaume pia chake... Hawa watu wabinafsi sana
Baadae wanataka mgawane mali wote sawa sababu metafuta wote😀😀
 
Wanawake wabinafsi sana Kwenye Swala la Kipato na Mali.
Mwanamke chake chake,
Cha Mwanaume pia chake... Hawa watu wabinafsi sana
Sio wote...wengine wana nyoyo safi unless umeenda kuoa upareni ama uchagani
 
Sasa kama nihivo kwa nini nae(mwanamke) anaamka Saa 5AM anarudi jion 6PM kwakigezo alikua kazini. Hio kazi faida yake ni nini kwenye familia?.
Umemruhusu mwenyewe kwa sababu ya udhaifu wako. Kazi ya mwanamke ni malezi ya familia, siyo utafutaji.
 
Hebu apply a no nonsense doctrine, kabla hajakomaa,
Usikubali kuwa dhaifu sana
 
Mna bahati mbaya kupata watu wabinafsi namna hiyo, nina ndugu yangu nae the same...hata chumvi, hata akipita sokoni akanunua groceries, akirudi home jamaa atapewa bill yote. Nikimuuliza shem yeye anachangia nini jamaa anasema hakuna hata....

....mimi nikamwambia itakuwa alimlea hivyo, matokeo yake ndio hayo. If you wake up at 5am, come back at 6pm...halafu uniletee hizo pigo, utakaa home ulee watoto.
Kunakuwa hakuna maana ya yeye kutoka kwenda kutafuta. Akae hapo home alee watoto nk
 
Hapo namba 3. ndo nitamuharibu kabisa mkuu sababu ameshaingia roho ya kiburi. Sasa hapa ndani tutakua watawala wawili. no hii Imposible.
Mkataze asifanye kazi, akibisha achana naye aendelee na maisha yake maana ameshindwa Ku submit kama mke. Baadaye atakuja kugundua kuwa pesa siyo kila kitu japo inatatua mambo mengi
 
Aiseee, hapo umeteseka bro, bila kusimama kama mwanaume, umekwisha! Kuna bro wangu, nae mkewe alikuwa na mambo ya hvyo, mtaji kapewa na bro, ila hata mia yake mbovu, bro haruhusiwi kuigusa, bro alichokifanya, ni kuwa anamuibia, mke alijitahd kuficha lakn wapi, jamaa anakung'uta mabegi, pekua kila mahali, mwisho anazipata, jamaa anaenda kuenjoy na wadau, maana alisema anataka amnyooshe ili aingie kwenye mstari! Mwisho mwanamke alinyooka, siku hiz jamaa akikwama mwanamke anamukwamua.
🤣🤣😂
 
Kwani huu utaratibu wa cha mwanaume chenu cha mwanamke chake umetoka wapi? No hii kitu sijapenda.

Wife kaanza kushika hela hataki niguse hata mia wala itumike kwa kununua hata robo ya sukari. Kachonga kibubu anaiweka humo zote.

Daah leo nimemkoromea kaanza kumaindi nimemwambia akitaka hayo maisha arudi kwao.
Una uhakika hauna michepuko bro ?? Wanawake huwa wabinafsi kwa mwanaume Malaya wanaamini utaenda kuhonga akikupa, kwahiyo atajitunzia kwaajili ya wanae na yeye basi .
 
Bado yupo home kuna kazi kaletewa aishone mkuu ni fundi, kapata wateja wawili pesa zote katia katika kibubu. nilikua na lengo nitafute frem kabisa lakini kwa hii tabia naanza kua na wasiwasi
Shukuru una mwanamke mpambanaji anajua kutunza pesa siku ukiwa hoi kitandani atavunja icho kibubu , wenzio wanawake zao wakipata pesa wanawaza mawigi ya laki mbili uko akamtambie shoga ake . Halafu pesa ya mwanamke ni kwaajili ya dharura usiipigie hesabu ivo , na umshauri aweke pesa UTT kibubu kinaweza ibiwa
 
Kwani huu utaratibu wa cha mwanaume chenu cha mwanamke chake umetoka wapi? No hii kitu sijapenda.

Wife kaanza kushika hela hataki niguse hata mia wala itumike kwa kununua hata robo ya sukari. Kachonga kibubu anaiweka humo zote.

Daah leo nimemkoromea kaanza kumaindi nimemwambia akitaka hayo maisha arudi kwao.
Bado hujakomaa kuhusu kuwaelewa wanawake , kwanza inaonyesha unatumia ubabe kuipata pesa ake . Huwezi toboa
 
Back
Top Bottom