Mnaishi vipi na wanawake wenu wakiwa wabinafsi?

Aiseee, hapo umeteseka bro, bila kusimama kama mwanaume, umekwisha! Kuna bro wangu, nae mkewe alikuwa na mambo ya hvyo, mtaji kapewa na bro, ila hata mia yake mbovu, bro haruhusiwi kuigusa, bro alichokifanya, ni kuwa anamuibia, mke alijitahd kuficha lakn wapi, jamaa anakung'uta mabegi, pekua kila mahali, mwisho anazipata, jamaa anaenda kuenjoy na wadau, maana alisema anataka amnyooshe ili aingie kwenye mstari! Mwisho mwanamke alinyooka, siku hiz jamaa akikwama mwanamke anamukwamua.
 
Ko sasa yeye kama ela yake haina kazi kuna umuhimu gani wa kujishugulisha?
Kazi kweli kweli,Yeye kufanya kazi ni jambo zuri na lenye maana kwenu nyote,sababu mwanaume kuna siku labda anaweza kupata dharura,ikiwa mwanamke anafanya kazi inakuwa afadhali,lakini kama ndiyo hela yake haitumiki kwa nyumba,kuna kila sababu ya kukaa naye na umuulize anafanya kazi kwa madhumuni gani?
 
Tofauti yako na wengine wenzako hawalalamiki hadharanii maana Ukidhani wako tu ndo yulo hivyo akili yako haijakomaa kuishi na mwanamke bado.. Kajipange upya.
tunaishi kwa kujifunza humu tupo watu wa aina tofauti tofauti. sijaja kiulalamishi nimekuja kupata maarifa
 
Kazi kweli kweli,Yeye kufanya kazi ni jambo zuri na lenye maana kwenu nyote,sababu mwanaume kuna siku labda anaweza kupata dharura,ikiwa mwanamke anafanya kazi inakuwa afadhali,lakini kama ndiyo hela yake haitumiki kwa nyumba,kuna kila sababu ya kukaa naye na umuulize anafanya kazi kwa madhumuni gani?
nimempigia ilo swali asubui hajajibu kitu.
 
Ni upumbavu wa kiwango cha juu kuishi na watu wa aina hii ukijidanganya kua ni mke.
Mshikaji wangu alikuwa na Demu wa Arusha, kama unavyojua mademu kulalamika ooh maisha magumu.

Sasa Mshikaji naye mpenda Nyapu sana.

Ikawa akipata mshiko jamaa anatuma. Huku Demu ana vibiashara vyake vya kuuza nguo na Kucheza upatu.

Baada ya miaka mitano ya mahusiano Demu ameshajenga Nyumba kali nyumbani kwao. Mshikaji hata Kiwanja hana.

😅😅😅

Ukijifanya una huruma sana kwa wanawake utashangaa miana inaenda huku unalalamikia CCM maisha magumu.

Unakuja kushtuka umegonga 40
 
Aiseee, hapo umeteseka bro, bila kusimama kama mwanaume, umekwisha! Kuna bro wangu, nae mkewe alikuwa na mambo ya hvyo, mtaji kapewa na bro, ila hata mia yake mbovu, bro haruhusiwi kuigusa, bro alichokifanya, ni kuwa anamuibia, mke alijitahd kuficha lakn wapi, jamaa anakung'uta mabegi, pekua kila mahali, mwisho anazipata, jamaa anaenda kuenjoy na wadau, maana alisema anataka amnyooshe ili aingie kwenye mstari! Mwisho mwanamke alinyooka, siku hiz jamaa akikwama mwanamke anamukwamua.
Lakini pia kuna Tabia za Wanaume kutumia pesa zao vibaya huku wakitegemea za Nwanamke. Hii hali inakela ndio maana mwanamke anajiwekea kaubahili ili ije kumsaidia baadae
 
Mshikaji wangu alikuwa na Demu wa Arusha, kama unavyojua mademu kulalamika ooh maisha magumu.

Sasa Mshikaji naye mpenda Nyapu sana.

Ikawa akipata mshiko jamaa anatuma. Huku Demu ana vibiashara vyake vya kuuza nguo na Kucheza upatu.

Baada ya miaka mitano ya mahusiano Demu ameshajenga Nyumba kali nyumbani kwao. Mshikaji hata Kiwanja hana.

😅😅😅

Ukijifanya una huruma sana kwa wanawake utashangaa miana inaenda huku unalalamikia CCM maisha magumu.

Unakuja kushtuka umegonga 40
Ndio maana nimemuuliza we ela unayorundika katika kibubu ya nini? kabaki kimya. nikamwambia fumua kibubu weka ela itumike hutaki utafanya nauli Urudi kwenu nikafunga mjadala.
 
Ngona tuone matokeo ya kauli yako kama atadharau au atatekeleza
 
Back
Top Bottom