Mnaishije bila kwenda kwa mganga wa kienyeji? Una mnatake risk tu mnaumwa na kufa imetoka hiyo?

Mganga kanisaidia nlikua na itel saiv namiliki macho matatu.
Tumia mganga vizuri kwa maendeleo yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hatuendagi kwa waganga maana YESU ndiye mwanzo na mwisho

Imeandikwa kwenye Biblia kuwa, hakuna uchawi katika Israel Wala uganga katika Yakobo
Tafuta mganga mzuri binti utasahau shida zote.
 
Na yeye mganga wa kienyeji anaenda kwa nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…