CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Mar 9, 2024 #2 LIVE LONGER JAMII FORUM.
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 3,447 Reaction score 11,274 Mar 9, 2024 #3 Mashujaa ndo timu yenye vibe kwenye social media kuliko timu zote za Tanganyika. Admin wao wa mitandao ya kijamii ni habari nyingine, ameongeza chachu ya Mashujaa Fc kujizolea wapenzi na mashabiki. Baada ya Simba na Yanga, timu pendwa inayofuata ni Mashujaa Fc.
Mashujaa ndo timu yenye vibe kwenye social media kuliko timu zote za Tanganyika. Admin wao wa mitandao ya kijamii ni habari nyingine, ameongeza chachu ya Mashujaa Fc kujizolea wapenzi na mashabiki. Baada ya Simba na Yanga, timu pendwa inayofuata ni Mashujaa Fc.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Mar 9, 2024 #4 Sawaa tupo tayariii...
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Mar 10, 2024 Thread starter #5 Kalpana said: Sawaa tupo tayariii... Click to expand... Mkauliweeeee
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 10, 2024 #6 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw