Mnaitwa hukuuu

Mashujaa ndo timu yenye vibe kwenye social media kuliko timu zote za Tanganyika.

Admin wao wa mitandao ya kijamii ni habari nyingine, ameongeza chachu ya Mashujaa Fc kujizolea wapenzi na mashabiki.

Baada ya Simba na Yanga, timu pendwa inayofuata ni Mashujaa Fc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…