Mnaizungumziaje ZiG, Sarafu mpya ya Zimbabwe?

Mnaizungumziaje ZiG, Sarafu mpya ya Zimbabwe?

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
Wananzengo

Zimbabwe wame tangaza sarafu yao mpya kureplace pesa yao iliyopoteza thamani kwa 80 asilimia,
Sarafu hii ni ya kidigital pia inapewa thamani na gold.

Hadi sasa Zig 100 ni sawa na usd 10 na point.

Je, watajikwamua?

====

Zimbabwe’s new currency, the ZiG, strengthened a day after its debut, the central bank said.
The currency gained 0.2% to 13.53 per US dollar, according to data published on the Reserve Bank of Zimbabwe’s website on Tuesday.

Screenshot 2024-04-09 122345.png


1712654685544.png
 
Simple money
 

Attachments

  • ak7php1EFubYL31N.png
    ak7php1EFubYL31N.png
    1 MB · Views: 8
Uchumi unahitaji usimamizi Mzuri, siyo kupiga siasa siasa. Nilitembelea Zimbabwe mwaka 1990 nikakuta maisha mazuri sana kulinganisha na Tanzania ingawa watu walikuwa wanaanza kulalamika. Nilikuwa nabadilisha USS1 kwa Zim$ 5 na wala watu walikuwa hawana papara na pesa za nje; dereva wa Taxi aliyenitoa airport alinipeleka benki kwanza Standard Charted Bank (wakati huo haijafika Tanzania) kubadilisha Traveller's Cheques zangu ili nimlipe katika Zim-Dollar ingawa nilikuwa na USD-Cash pia.

Miaka 9 baadaye mwaka 1999 nilikwenda tena Zimbabwe nikitokea Marekani nikashangaa hiyo Zimbabwe niliyokuta. Yale mabarabara mapana ya Julius Nyerere way yalikuwa ni mashimo mashimo, US$1 ulikuwa unapata zaidi Zim$5000 wakati huo na zilikuwa hazinunui chochote. Wakati huo Mugabe akiwa anahangaika na siasa dhid ya vyama vya upijnzani tu na kupora mashamba ya weupe ili apate cheap politics
 
Kama uzalishaji wa bidhaa uko vizuri, sarafu haina shida; ila kama uzalishaji wa bidhaa hakuna, hiyo sarafu ni kama karatasi tu
 
Back
Top Bottom