Mnajua anacho kifanya Mzee Hassan Dalali kuzunguka uwanja leo Simba Day? Uchawi wa mwaka 1993

Mnajua anacho kifanya Mzee Hassan Dalali kuzunguka uwanja leo Simba Day? Uchawi wa mwaka 1993

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Simba acheni utoto..Huo uchawi mlioutumia Leo ni uchawi ulisha expire toka enzi za Pontyo wa Pilato...Ni version ya uchawi ulio kuwa unatumika wakati Nuhu bado yupo kwenye safina..


Eti muasisi wa Simba Day azunguke uwanja kusalimia mashabiki.. 🤣🤣 Mnatuona wote watoto eeh?

A nacho kifanya huyo Mzee ni kufunga huo uwanja kichawi. Anatumia staili inayo tumiwa na Yule Sangoma wa Kipatimu ( anae ua watu kichawi) kuwafunga watu kwa kuwaagiza wahusika kumeza dawa na kujipaka dawa kisha kwenda kuzunguka kuaga mwili wa marehemu kabla hajazikwa na kisha kwenda kuzika vitu kwenye Kabuki lake.. Hiyo kuzunguka kuaga maiti ni ishara ya mnyororo wa kufunga agano ambalo haliwezi kuvunjika..

Ndicho a nacho kifanya Mzee Dalali hapo Eti anafunga huo uwanja... Nyie Simba huo Uchawi wenu ni wa kitoto mno.. Wenzenu huo uwanja tayari wapo nao wanaumiliki katika ulimwengu wa roho kwa hiyo anacho kifanya hapo ni kuto..omba moto anaungua mavuzi. . Uwanja halisi wanao wenyewe ( wanao umiliki kama uwanja wa nyumbani)

Insanity is doing the same thing over and over again but expecting different results.. Mara zote mmekuwa mkifanya hivyo Ila mnashindwa. Mwaka juzi mlitumia Ngoma akazunguka kufunga uwanja mkaishia kula chuma 2-1.


Yanga Africans mwaka ni tena..

Simba Sports Club Go and Get your refund we have not been bewitched..


Yes mpira wa bongo ni ushirikina na uchawi
 
Hilo ni wazo lako na hii ni nchi huru hivyo tunaheshimu mtazamo wako
 
Acha tu nisimulie diss Truck ya babu talent wakati nafanya tafakuri ya hii hoja
 
Simba inajulikana kwa ushirikina mpaka CAF, inajulikana kwa kunya mpaka TFF. Hongereni sana wana Simba leo ndio kilele cha furaha yenu baada ya hapa ni maumivu na lawama kwa Mangungu.
 
Simba inajulikana kwa ushirikina mpaka CAF, inajulikana kwa kunya mpaka TFF. Hongereni sana wana Simba leo ndio kilele cha furaha yenu baada ya hapa ni maumivu na lawama kwa Mangungu.
100% facts
 
Back
Top Bottom