Mnajua kutafsiri ndoto nisaidie

Mnajua kutafsiri ndoto nisaidie

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Morng

Ase naota nipo karobu sana na rais si mara ya kwaza kabisa inakuja na kuondoka sasa sijajua ina maana gani mda mwingine asipo kuwa rais bas ni viongozi wakubwa wakubwa mfano kabudi embu nisaidie

Au kuna siku na mimi nitakula keki ya taifa 😂😂😂 nipo serious
 
Unawawaza sana ndio maana ikifika usiku unawaota, coz ndoto ni matokeo ya reality unayoishi, ndio maana huwezi kuota usichokijua.
the-four-stages-of-sleep-2795920_FINAL-5c05c2fc46e0fb00018dac3d.png
 
Tafsris Tanzania Ina watu wa ngapi?
Zaidi ya mil. 60
Wenye uwezo au sifa za kuwa rahisi wapo wa ngapi?
Zaidi ya million.
Tafsi yake umepotea kwenye malengo yako upo kwenye malengo yasiyo yako kwamba Huko unakoenda na kuwaza hutofika leo
Hivyo badilisha mtazamo rudi kwenye malengo yako ya zamani utafanikiwa.
Ila Haya ya Sasa hufiki Wala hutofanikiwa.
 
Mkuu ipo hivi tunafanya kitu ambacho hakipo moyoni ila kwasababu ya kupambana na umasikini hatuna budi kutumia fursa ambayo ipo mbele yetu ukisema niache nipambane na malengo yangunya zamani sioni njia naona giza na kuna vikwaza vingi sana ila sijakata tamaa
 
Back
Top Bottom