Mnajua kutafsiri ndoto nisaidie

Mnajua kutafsiri ndoto nisaidie

Morng

Ase naota nipo karobu sana na rais si mara ya kwaza kabisa inakuja na kuondoka sasa sijajua ina maana gani mda mwingine asipo kuwa rais bas ni viongozi wakubwa wakubwa mfano kabudi embu nisaidie

Au kuna siku na mimi nitakula keki ya taifa 😂😂😂 nipo serious
Inaweza kuwa huwa unapenda viti vya mbele (kuwa karibu na wakubwa, unapenda ukubwa na unapenda kusifiwa) au ni mpiga debe wao (unawaongelea vizuri).
 
Unawawaza sana ndio maana ikifika usiku unawaota, coz ndoto ni matokeo ya reality unayoishi, ndio maana huwezi kuota usichokijua.
View attachment 3213402
Mbona kuna wakati unamuota mtu ambaye hujamuona kwa miaka na hukuwa na ukaribu nae, je hii inaelezeka vp na maelezo uliyoeleza hapo?
 
Morng

Ase naota nipo karobu sana na rais si mara ya kwaza kabisa inakuja na kuondoka sasa sijajua ina maana gani mda mwingine asipo kuwa rais bas ni viongozi wakubwa wakubwa mfano kabudi embu nisaidie

Au kuna siku na mimi nitakula keki ya taifa 😂😂😂 nipo serious
Jaribu kuangalia hizo ndoto umeanza kuota kipindi gani mpaka sasa na kitu gani kimetokea au unakifanya katika maisha yako katika kipindi hiki ambacho umekuwa ukiota hizo ndoto? Au chunguza nini ukifanya au kukutokea basi ndio hutokea kuota hizo ndoto?

Maana hizo ndoto za kujirudia rudia inakuwa kuna kitu unapitia kwenye maisha kipindi hiki au kuna kitu unafanya ndio hupelekea hizo ndoto.
 
Back
Top Bottom