Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ach basi mm najipa tumain foleni yangu imekaribia kulishwa keki ya taifa kumbe bado πRoho ya umaskini hiyo inakunyemelea mkuu.π π π
Embu muuiiteMuulize William Mwakilasa.
Ahahaha au sioUtajinyea mkuu, amka usingizini
Ata siwazi hayo mambo kabisa mimi na siasa vitu viwili tofautiUnawawaza sana ndio maana ikifika usiku unawaota, coz ndoto ni matokeo ya reality unayoishi, ndio maana huwezi kuota usichokijua.
View attachment 3213402
Ungekua unamuota TL ningeanza kuwa chawa wako π π πAch basi mm najipa tumain foleni yangu imekaribia kulishwa keki ya taifa kumbe bado π
ππππ huyo mzee wa kihindi ata umpige bomu afiUngekua unamuota TL ningeanza kuwa chawa wako π π π
Upo sahihi, ipo siku utakuwa keki ya taifa na watu waanze kukukulaAu kuna siku na mimi nitakula keki ya taifa
Huyo ukimuota wewe anza kujiandaa.ππππ huyo mzee wa kihindi ata umpige bomu afi
BaelezeeπππUpo sahihi, ipo siku utakuwa keki ya taifa na watu waanze kukukula
Duh au sioUpo sahihi, ipo siku utakuwa keki ya taifa na watu waanze kukukula
Ahaha au sioUsipende kulala uchi masta
Haahah au sioHuyo ukimuota wewe anza kujiandaa.
Mkuu ipo hivi tunafanya kitu ambacho hakipo moyoni ila kwasababu ya kupambana na umasikini hatuna budi kutumia fursa ambayo ipo mbele yetu ukisema niache nipambane na malengo yangunya zamani sioni njia naona giza na kuna vikwaza vingi sana ila sijakata tamaaTafsris Tanzania Ina watu wa ngapi?
Zaidi ya mil. 60
Wenye uwezo au sifa za kuwa rahisi wapo wa ngapi?
Zaidi ya million.
Tafsi yake umepotea kwenye malengo yako upo kwenye malengo yasiyo yako kwamba Huko unakoenda na kuwaza hutofika leo
Hivyo badilisha mtazamo rudi kwenye malengo yako ya zamani utafanikiwa.
Ila Haya ya Sasa hufiki Wala hutofanikiwa.