Mnajua kutafsiri ndoto nisaidie

Inaweza kuwa huwa unapenda viti vya mbele (kuwa karibu na wakubwa, unapenda ukubwa na unapenda kusifiwa) au ni mpiga debe wao (unawaongelea vizuri).
 
Unawawaza sana ndio maana ikifika usiku unawaota, coz ndoto ni matokeo ya reality unayoishi, ndio maana huwezi kuota usichokijua.
View attachment 3213402
Mbona kuna wakati unamuota mtu ambaye hujamuona kwa miaka na hukuwa na ukaribu nae, je hii inaelezeka vp na maelezo uliyoeleza hapo?
 
Jaribu kuangalia hizo ndoto umeanza kuota kipindi gani mpaka sasa na kitu gani kimetokea au unakifanya katika maisha yako katika kipindi hiki ambacho umekuwa ukiota hizo ndoto? Au chunguza nini ukifanya au kukutokea basi ndio hutokea kuota hizo ndoto?

Maana hizo ndoto za kujirudia rudia inakuwa kuna kitu unapitia kwenye maisha kipindi hiki au kuna kitu unafanya ndio hupelekea hizo ndoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…