Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

Mtulaneni mbowe baadaye muanze kutia huruma kuwa yuko kimya
 
Bwege kutoka chadema chakavu ya kibaraka lissu likiwapumbaza mabwege wenzie kutoka chadema chakavu ya kibaraka lissu.🀣🀣🀣🀣
Nyie ndo dead walkers, nafsi zenu zimetwa,zinatumikiswa
 
Sio kweli, kila mtu anaweza akatunga uongo kama huu.
 
Nyie tukiwaendekeza mtatupanda kichwan sasa si ndo nyie mliweka uzi kua tarehe 6 lazma Mbowe atinge Chaumma na ikawaje? Acheni ramli za kijinga na upuuzi wenu hapa..
 
Nyie tukiwaendekeza mtatupanda kichwan sasa si ndo nyie mliweka uzi kua tarehe 6 lazma Mbowe atinge Chaumma na ikawaje? Acheni ramli za kijinga na upuuzi wenu hapa..
Soma vzr ,mkuu na hawezi kuelewa mpaka uwe na jicho la tatu
 
Hakuna anayejiuliza zaidi ya jinga km ww. Mpigie sm maana kazi yenu kufuatilia maisha ya watu
 
So this is true kuhusu sumu
Mungu ingilia kati tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…