Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

Siasa haiitaji kiburi. TAL anatakiwa ajue namna ya kuzichanga karata za kisiasa sio kuendekeza kibri. Haisaidii kitu.
Afanye siasa za kuuza watu wauliwe kama Mbowe sio? Unapata faida ukiona binadamu mwenzako wanakufa wale wana familia zinawategemea Aya tangia kibao amekufa au Soka kuna unafuu gani wa maisha umepatikana. Sometimes inakuaga vigumu kukubaliana na wale wabaguzi wanaosema waafrika sio binadamu kamili lakini sometimes uwa nakubaliana nao
 
Kiwanda cha kutengeneza uzushi. Kimeshafyatua uzushi mwingine.
 
Binafsi siwezi kupinga au kukubaliana na hoja hii Moja kwa moja. Kwamba Mbowe alitumwa kwenda kumshawishi Lissu hayo mambo. Kama wanamtandao walitumia mbinu hiyo basi uwezo wao katika haya mambo unapwaya na hawako smart. Kama walitaka hili jambo liwe Siri kwa nini wasingetumia njia yoyote ya kumfikishia Lissu ujumbe huo kwa njia fiche na ya Siri zaidi kwa kutumia watu wao wenyewe?

Kwa nini wamtumie Mbowe wakati inajulikana wazi yeye na Lissu Uchaguzi ndani ya Chama hicho uliacha makovu ambayo hayajapona??

Yaweza kuwa mtandao upo na una nguvu lakini wakati mwingine tunatengeza Midori iliyobeba visu Kisha tunaanza kuikimbia Midori hiyo wakati tunajua si vitu halisi!
 
Yaani we ni mpumbavu namwonea huruma mamako
 
Duuuu.....damu ya wanyonge italipwa tu
 
Ngoja tuone mkuu
 
Stori za vijiweni.
 
Unamzungumzia huyu Lisu wa Singida au ambaye bado hajazaliwa?
 
Anasubiri Simba anyongwe na bichura iliarudi kuwa mwenyekiti chadema, vijana wake kwasababu nikipindi champito hawanamaisha njaa kali kawaelekeza chauma kujipatiapo kula angalau Kwa bei ya nusu mkate toka kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…