Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

Waliongea mambo mengi sana, watu huwa wanafikiri hivyo, lakini Lisu anasiri sana kuliko hata mbowe, sema watu hawajui maana ya siri
Wwe hao wawili hujawahi hata kusalimiana nao
 
Sawa Makala tumekusikia. Ukitaka uvae viatu vya Lissu kapigwe risasi moja tu na ukakae rumande siku Saba pekee. Shida mnaongea kujifurahisha nafasi zenu baada ya kuona Lissu hateteleki.
Mkuu kila dhambi ina malipizi yake. Wanasiasa wengi ni kama makaburi yaliyopambwa kwa nakshi za kila aina ila deep down ni mabaki yenye harufu kali
 
Wewe umejuaje wakati Lisu ndo ilitakiwa atoe hiyo siri?
 
W
Ukombozi hautamsaidia chochote kwa aina hii ya wananchi.
Yes, anaweza akawa anapambana lakini je, hao wanaopambaniwa wapo tayari?!
Wakati ndio msema kweli
 
Sawa Makala tumekusikia. Ukitaka uvae viatu vya Lissu kapigwe risasi moja tu na ukakae rumande siku Saba pekee. Shida mnaongea kujifurahisha nafasi zenu baada ya kuona Lissu hateteleki.
Lisu ni chaguo la Mungu mkuu
 
Kwani Mbowe hamjui Tundu Lisu kuwa hana siri!
Tofauti ya siri na kusema ukweli ni kubwa.

Lissu amenyooka , anasema kweli ni ngumu mtu mwenye makandokando kumshirikisha mambo yako maana yatalipuka tu .

Hujiulizi kwanini team iliyoshindwa tena katika uchaguzi uliokuwa live kwenye mitandao ichukie na kuhama chama kwa mbwembwe na matusi?

Sababu wanajua walichokuwa wakikifanya enzi za Mbowe hayawezi kufanyika kipindi hiki.
 
Mambo sio marahisi kihivyo. Safari hii Mungu mwenyewe ataingilia kati. Kaeni kwa kutulia mambo bado!
 
Ngoja tusubili mkuuu
 
Duuh mwenye picha Mboe akienda ama akitoka aiweke hapa!
 
Nimecheka 🤣🤣🤣 hapo uliposema angeenda lisu akitoka atatoa siri😃😃..lisu hapendi unafiki(kuficha ficha)🤣🙌
 
Kwa nini unaleta udaku?😁
 
CCM inamwogopa Lisu ¿¿¿¿ nchi inawatu wagumu sana kuelewa!!!

sasa sio Lisu ndio kavua jezi katupa taulo ulingoni Kagoma kushiliki Uchaguzi.

CCM inausikaje kumwogopa Lisu au Chadema ????
Ccm inamwogopa Lissu kama corona.
 
Vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…