Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,663 Reaction score 9,335 Mar 16, 2025 #21 Mwambie akupe hii
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,779 Reaction score 31,297 Mar 16, 2025 Thread starter #22 Mnanguliti said: Sidhani kama ni mdeni huyo!! Click to expand... Ni deni nataka nimpate live anipe neno la mwisho kabla ya polisi maana ni mshkaji, 400000/=parefu
Mnanguliti said: Sidhani kama ni mdeni huyo!! Click to expand... Ni deni nataka nimpate live anipe neno la mwisho kabla ya polisi maana ni mshkaji, 400000/=parefu
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,186 Reaction score 27,366 Mar 17, 2025 #23 Watu wa MMU wamevamia jukwaa la sayansi na teknolojia. Kwani hamuwezi kukaa kimya akajibiwa na wanaojua?
Watu wa MMU wamevamia jukwaa la sayansi na teknolojia. Kwani hamuwezi kukaa kimya akajibiwa na wanaojua?
majam19 JF-Expert Member Joined Nov 13, 2024 Posts 1,734 Reaction score 2,023 Mar 17, 2025 #24 Kuna mtu anadaiwa ukuuuu
Revolution JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 1,436 Reaction score 1,769 Apr 6, 2025 #25 Lupweko said: Watu wa MMU wamevamia jukwaa la sayansi na teknolojia. Kwani hamuwezi kukaa kimya akajibiwa na wanaojua? Click to expand... Mimi mwenyewe nimescroll nikijua nitaona hata clue ya jibu la hili swali ila naona ni maneno tu. Ninafikiri wabongo wengi kutokana na kutokuwa na akili tunapenda kuchit chat....kusogoa tu , tena wanaume!
Lupweko said: Watu wa MMU wamevamia jukwaa la sayansi na teknolojia. Kwani hamuwezi kukaa kimya akajibiwa na wanaojua? Click to expand... Mimi mwenyewe nimescroll nikijua nitaona hata clue ya jibu la hili swali ila naona ni maneno tu. Ninafikiri wabongo wengi kutokana na kutokuwa na akili tunapenda kuchit chat....kusogoa tu , tena wanaume!