Nch yangu ni nchi isiyopenda kuambiwa ukweli wao ni mabingwa wa kutoa makatazo bila kujali chanzo cha tatizo.
Hivi leo wananchi kila siku wanapiga kelele juu ya yaliyotokea 29/10 hakuna anayejali mmeziba pamba masikio na nyie ndio viongozi wetu tumuulize nani? Tumepoteza wapendwa wetu mnakaa pembeni mnatucheka kwamba sisi ni wajinga kudai haki zetu.
Kiongozi anajilimbikizia mali waziwazi anaingia mikataba ya kujinufaisha mkuu wa nchi anasema ili wasirudie tena TUWACHAMBE HADI WAONE AIBU
Sasa kwa mambo kama haya unategwmea wananchi tufanye nn kuchamba hatuwez mahakama zipo kwa ajil ya wanyonge.
Sisi tumeamua kufurahia vifo vyenu pengine mlioko madarakani mtashtuka
Hivi kila mtu anamuona ANGELA KIZIGHA ni fisadi nchi hii hadi Hayati Rais Magufuli alisema hilo huku wewe ukiwa makamu wake, si ungemshauri boss wako kuwa Angela hana hatia
Mkifa kwetu tunaona nchi inapata nafuu sababu hamtazikwa na hizo pesa mtaziacha hapahapa na ufalme wa Mungu hamtauona kamwe