Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
zipo ingia youtubeNilitaraji kukuta ka video 🤔
Weka linkzipo ingia youtube
AJABU NI KWAMBA UNAAMKA ASUBUHI UKIKUNA SEHEMU ZA SIRI BILA KUANZA KICHWANIAjabu Nini, mbona Mimi Huwa nawasha pkpk kwenda kununua mbuzi magulioni sembuse nchi tajiri kuwasha ndege kusaka ng'ombe
Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani.
Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe!
Mwenye kisa hiki tuelezeni.
View attachment 2900584