Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Nov 27, 2025 #1 Mnakumbuka Wanu aliahidi atanunua mashine za kuchimba makaburi? Ninadhani mtakuwa mumemuelewa sasa. Asiyejua maana haambiwi maana.
Mnakumbuka Wanu aliahidi atanunua mashine za kuchimba makaburi? Ninadhani mtakuwa mumemuelewa sasa. Asiyejua maana haambiwi maana.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Nov 27, 2025 Thread starter #2 Hatimaye vitendo vimeongea nini alimaanisha.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Nov 27, 2025 #3 Sasa ni rasmi hizo mashine zitatumika kwenye kuizika elimu yetu.
al1 JF-Expert Member Joined Mar 2, 2024 Posts 1,360 Reaction score 2,696 Nov 27, 2025 #4 π€£π€£ mkuu umewaza mbali sanaππ
Dumas the terrible JF-Expert Member Joined Jan 20, 2021 Posts 5,476 Reaction score 11,393 Nov 27, 2025 #6 Wanu gani? yule mwenye Elimu ya Haba na haba hujaza kibaba? Aaah Wahenga sometimes walitunga misemo ya ukweli! πππ
Wanu gani? yule mwenye Elimu ya Haba na haba hujaza kibaba? Aaah Wahenga sometimes walitunga misemo ya ukweli! πππ
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Nov 27, 2025 #7 Muda sio rafiki...
M Muhimbu JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 4,001 Reaction score 7,587 Nov 27, 2025 #8 Halafu ndio naibu wa wizara ile muhimu kabisa inayoshape future ya taifa hili