Mnakumbuka track hizi?

jockey emmanuel

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
330
Reaction score
50
"Mtoto idi kazua balaa
mtoto idi kazua mikosi
kisa pamba kapandwa na kichaa
anahitaji kurekebishwa"

mb dog akikwambia latifa,"penzi la dhati lati mi ntaona aaaa
penzi la uzushi lati mi ntajua aaaaa
kumbuka dog man dog nakupenda
ukiniacha dog man nitakonda..."


ferooz akisema starehe,"hapa nilipo mimi nipo kitandani
starehe zimeniweka matatani
kupona tena mimi haiwezekani..."

prof.j akisema nikusaidieje"nikimpa keki hataki anataka boga
nikimpa soda hataki anataka togwa..."


kuna ule wa tshet na jinz,"kila mmoja anapendeza
tshet na jinz
hakuna anayechukiza
tshet na jiz..."

z-anto akisema mpnz jini,"jini jini ananipenda sana mimi
anasema ananipenda
anasema hatonitenda..."


mr.nyc akisema fagilia,"wawaaaaaa...mr.nyc
fagilia fagilia bongo
kuku kapanda baiaskeli
bata kavaa raizoni..."

dudubaya akisema nakupenda,"nakupenda mpnz usiyependa doo
tikisa shori wa kweli.."

kuna ule ulivuma sana unasema hivi,"nipe 5 nani nikurushe mpaka kucheeee eeeh..."
bila kusahau uliowahi kufungiwa,"mitungiii....xxx"
zaidi kuna mama roda,"mama rodaaa umeniachaaaa
mama rodaaa utanikumbuka aaa..."

mnaukumbuka ule wa regina?upo hivi,"nakupenda reginaaaaa nakupenda regina..."

ule wa cinderela nao,"ulinitesa sana
sababu nilikupenda wajua
kijijini kwa bibi kigoma
iliniuma sana..."

mac muga nao,"kumbuka athumani alipofika south afrika
alikuwa na maisha bomba..."

matonya alitoka hivi,"wa2 walishachonga sana
et valet simpat tenaaa
na kuongea uzushi bwana
kwa kuona mambo yetu yananyookaaaa
hata kic na hug sipati
oo mama beibeeee"

suma lee alianza hivi,"chungwa kalimenya utazania chenzaaa
na lishamegwa nawe umewezaaaa"

ONGEZENI NYINGINE JAMANI TUKUMBUSHANE TULIKOTOKA!
 
nimekuzimikia kia nimekufia fia mtoto wa geti kali!!!waweza kula ugali siju nini na niniii!!!
 
Yaelekea hujatoka mbali sana; sidhanai kama umeshazisahau hizi za juzi
SIO SIJATOKA MBALI YANI CKU HIZI NA HAYA MASOMO 11 NITAKUMBUKAJE ZOTE?HALAFU NKITAJA ZOTE NYIE MTAONGEZEA NINI?ONGEZA NDG,INAELEKEA WE UMETOKA MBALI EH?ENZI HIZO HIZI TRACK ZINATOKA MI NLIKUWA PRIMARY XCUL,WEWE JE?NAJUA ULIKUWA MAYB SEC CO?LKN NILICHOMAANISHA HAPO KTK WAT U QUOTED NI KUWA TUKUMBUSHANE MZIKI WA BONGO ULIPOTOKA NA SI MIMI MAYB I DDNT PUT MY SENTENCE CLEAR.KARIBU TENA MKUU,TUMA SALAMU KWA WATU WA5 UNAOPENDA WAKUMBUKIE MZIKI WA BONGO ULIPOTOKA....hahahaaaaaaaa!lol.
 
usisahau ule wa "mrembo na.8 ananichanganya..." na "kama wanipenda,nnunulie zeze,nikilala kitandani.." na mingine miiiiiiiingiiiiiiiii ya kumwaga ni wewe tu kukumbuka!....pamoja sana JF FAMILY....MSIKOSE TAMASHA HOTTEST ONE LITAKALOFANYIKA WET N WILD,DECEMBER HII,MIMI NTAKUA NAZINDUA ALBAMU YANGU YA KWANZA,NYIMBO KAMA PILLO BOY NA GADAFFI ZIPO...JF MEMBERS WOTE BURE NA CHAKULA,MAVAZI NA MALAZI BURE.DATE NTAWAJULISHA...MSANII CHIPUKIZI NIMEKUJA KUWASHIKA!..USIKOSE TAMASHA LA PEKEE KUINUA VIPAJI NDANI YA JF FAMILY
 
Mzee wa busara vishawishi vimemponza mpaka kafanya msara...
Mzee wa busara ni mzee ambae tunaishi nae kwenye nyumba ya kupanga....

"Ukisikia nyauuuu" lol (jamani sikumbuki mistari - but i loved the song)
 
Kaamanda!kaamanda!by daz nundaz.julieta nakupenda kwa dhati ila majiran wanachombeza unafki,salome juu ya kabur lako naliaa aa!by Duly sykes
 
MSAFIRI KAKIRI - Juwata Jazz Band aka MSONDO

(Utunzi ni wake TX Moshi William, solo kupigwa na Abdi Ridhwan 'totoo' au siku hizi Pangamawe, rythim na Pishuu, bass na Issa Ramadhani. Katika wimbo huu Sax zimepulizwa barabara kabisa na Mnenge ramadhani, Abdi Mketema, na Hagai Kauzeni)

(TX Moshi)
Mini mwendapole ninakuja
msafiri kakiri
walisema waswahili nenda ukitizama mbele na nyuma

moyo wanidunda nilidhani
tena kwa uoga wa safari
yakutafutaa
maisha mazuri

najikaza kiume nakwenda
nawapisha wenye haraka
waje wapite mimi naja taratibu

oh Ridhwani sema

najikaza kiume nakwenda
nawapisha wenye haraka
waje wapite mimi naja taratibu

(sax murua)

(wote) kibwagizo
msafiri kakiri .....kakiri
mwendapole ninakuja
nawapisha wale warudio na waendao kwa haraka

(Lusungu)
safari ni hatuaa
mwenda pole hajikwai
penye nia pana njia
lengo langu litafikia eh

(wote) kibwagizo

(Lusungu)
kwa kuwa duniani
kuhandaika ili ufanikiwe
pasi nitasafiri kila pembe
iko siku mungu atanisaidia eh

(wote) kibwagizo

(Lusungu)
Mwendapole hajikwai
akijikwaa haanguki
akianguka haumiii
kuumia kwake kidogo tu

(wote) kibwagizo

(Lusungu)
kwa kuwa duniani kuhangaika ili ufanikwe
basi nitasafiri kila pembe
iko siku mungu atanisaidia eh
Rudi Mwanzo
 
"Niko mikononi mwa police maisha yangu bado ni mikosi afandeeeee x4 @ mikononi mwa police ni sehemu ya usalama sasa mbona sio salam?" by kamanda SUGU.
 
Mzee wa busara vishawishi vimemponza mpaka kafanya msara...
Mzee wa busara ni mzee ambae tunaishi nae kwenye nyumba ya kupanga....

"Ukisikia nyauuuu" lol (jamani sikumbuki mistari - but i loved the song)

dah! kumbe na wewe umo bidada? Big up!

kuna ule wa

Nakuhitaji, mpenzi wangu nakuhitaji, Nakuita...
Njoo kwangu, utakachotaka ntakupaa, ntakupaa

Isagha we ngugwilee, isagha we ngugwileee
Njoo kwangu utachotaka ntakupaaaa

Sijui kauimba nani vile? lol
 
ninao ninao....ninao ninao....
sijui nimlaumu nani kati ya nafsi yangu ama shetani.....
kwaherini kwaherini kwaherini....migomigo Sinza kwaherini....wana Azania kwaherini.....
kwingine endelea mwenyewe.....
 
Jamani tuwe serious. Jf si mahali pa ku-discuss bongo fleva. peleka kwenye blog ya jaydee
 



Hivo hivo mdogo mdogo dear.....lol... Umenifurahisha selection yako aisee!
Hivi ndoo huu ambao yupo Dokii na yule alokua Mpenzi wake? (shooting wapo a min-supermarket...)
What do you think of "KAMANDA" Wa akina Daz Nundaz??

Kamanda..... Kamanda... eyoooo

siku ya mwisho mapigo ya moyo utakapo gota, nuru itazima mfano wa nyota inapodondoka...
sitoweza kuamka tena macho yangu yatapofumba safari imewadia sasa naenda kwa baba muumba...
Masela nawaachia husia, wambia ndugu na jamaa wapunguze kulia...
sote tutakwenda bali mii natangulia dunia sio makazi yangu tena, niombeeni kwa Mola nilizwe peponi tena...
hamtaniona tena milele nawaachieni majonzi tele... Buriani naaga na nakata kauli, roho yangu inatolewa na Iziraeli...
Yowee la uchungu litasikika pale roho yangu itapotelewa....
 
Jamani tuwe serious. Jf si mahali pa ku-discuss bongo fleva. peleka kwenye blog ya jaydee



Habari yako Mpinga Shetani....

Labda umeshindwa elewa kua hapa JF kuna forums nyingi na za kila aina na of your choice pia... Nahisi umeghafirika tu Mkuu na walitambua hilo maana your joining date yaonesha unafunga mwaka sasa, thou Post nazo zasema sio mchangiaji kivile.... Once in a while furahia maisha bana.... Na karibu saaana Chit Chat where any topic is applicable....
 
kaimba nani huo wimbo?
 
Umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…