Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Salaam. Bila kuwachosha
Moja kati ya kauli ambazo Huwa nashindwa kuelewa ni pale naposikia mtu anasema kwamba usioe mwanamke unaempenda
Maybe Kuna hoja ya msingi nyuma yake
Swali linakuja nawezaje kuishi na mwanamke Ambae simpendi Wala kuwa na hisia nae
Huwa mnalenga Nini mnaposema hivyo na je. Inawezekana kwenye Hali ya kawaida uwe na mtu Ambae huna hisia nae halaf uweke matarajio kuwa mtafika mbali