Mnalikumbuka jiko la stove?

Ilikuwa ukilimiliki mademu wasomi hadi utawakataa. Alikuwa nalo mjomba na alionekana mtu wa mamtoni. Siku moja jamaa yangu akaniambia tuliibe kwani liko full dhahabu!!!! Utoto+ushamba nuksi tupu.

Hahhahahaaaa njano yake iliwachanganya
 
nimelitumia! jirani lazima ajue sasa panapikwa! pia harufu ya kerosene nyumba nzima
 
hili litakua la Ikulu maana zuri sana
 
Likisumbumbua inakuwa balaa kabisa. Hasa kuziba au kupitisha mafuta mengi.
 
Nililiona tu ila kutumia hapana si ilikuwa kuni na mkaa baadae sana ndio jiko la mchina kwa chai
 
Nililiona tu ila kutumia hapana si ilikuwa kuni na mkaa baadae sana ndio jiko la mchina kwa chai
Matoleo yote hayo yalikuwepo. Stove ya kupampu na hilo la tambi likiitwa la mchina.
So ilikuwa chaguo lako unataka kutumia lipi.
Hili la tambi nadhani hadi leo bado yapo madukani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…