Mnamkubali huyu muigizaji wa Bongo movie Riyama Ally

Riyama mkali but naona kama kabase sana kwenye scene za aina moja, kulialia tu. Sijui kama muvi zake zote ndo za hivo, au nilizoziona mimi ndo ziko hvo. Namfananisha na yule msanii wa Kenya anaitwa Jaguar, yaani ukiweka playlist ya nyimbo zake utacheka, nyimbo zinafanana kama mapacha
 
Yuko vizuri though i am not sure if she is the best

kwa riyama irene bado, riyama anajua jamani kuuvaa uhusika haswaaa, kila kona anafit, haigizi bali anauvaa uhusika haswaa
 
Riyama yuko poa naweza kusema amebeba maana halisi ya KIOO CHA JAMII. Over!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…