Mnamkumbuka Ayatollah Khomeini, kiboko ya Shah wa Iran?

Kwa msaada wa mi 6 ya uingereza na taasisi ya ujasusi ufaransa,baada ya shah kuwataka bp na kampuni la mafuta ufaransa kulipa mirabaha stahiki ya uchimbaji mafuta,wakakubaliana nae mikataba ya ulaghai,wakamuweka madarakani,ulamaa akatumia taqiya,wakachoka hoi,Iran ikapigwa vikwazo tangu hapo hadi leo
 

Hii ni kitu kipya kwangu, ingawa najua Total ya Ufaransa imekaa vizuri sana Iran. Kitu kingine cha kujifunza, hawa wenzetu wako kimaslahi. Wnaweza kufanya lolote kulinda maslahi yao.
Kama walimtumia huyu, pole zake. Maana tuendako kama tuko corrupt, we will be punished
 
Ulamaa ali-apply taqiya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…