Mnamkumbuka Fikiri Madinda?

Mnamkumbuka Fikiri Madinda?

Mnajitekenya Tu huku,mleta uzi hayupo huku long time, nyie wanaume WA Dar mnajidai mna mdomo mrefu Sana wakat muhusika kapiga kimya, wanaume WA Dar fanyeni kazi
 
Mnajitekenya Tu huku,mleta uzi hayupo huku long time, nyie wanaume WA Dar mnajidai mna mdomo mrefu Sana wakat muhusika kapiga kimya, wanaume WA Dar fanyeni kazi

Mleta mada ni mgogo mwenzio yupo huko yuko Dodoma analima zabibu akipata muda ndio analeta umbea humu
 
Acha ushamba,alafu usiwe unaropoka vitu usivyo vijua... Ni deteva tangu miaka ya nyuma kabla hata hajaanza kumiliki band na mpaka anamiliki band alikua bado dereva. Na sio kwamba amefulia,na wala haishi mnadani. Yeye ni mtu wa dodoma na kwao ni dodoma so ukimuona maeneo yupo kwao. Wewe toka umfahamu Fikiri,je umefikia alipo saiv ambapo unasema kafuria??? Kazana kupambana kijana... Maisha kutafuta sio kutafutana.

yule jamaa alikuwa anamiliki hiace kibao mjini dsm zilizokuwa zinaitwa madinda trans yule aliyekuwa anaongozwa kupewa big up na bendi za kibongo enzi hizo. Yule aliyekuwa mme wa mcheza show maarufu wa twanga pepeta asha madinda? Jamb amefulia mbaya huwezi amini yupo dodoma now anaishi sehemu 1 inaitwa mnadani now ni dereva wa tamisemi

Wewe ukiamua kuweka ukweli utaufunga huu mjadala maana nawe ni madinda tofauti na hao wengine.. sasa funguka hivi ni kweli bro wako kafilisika??maana harushwi siku hizi na kina nyoshi el sadaat sauti ya simba
 
Akuna Majini wala Tunguli awa huwa wanaingia Mjini kwa pupa alafu wanjifanya Born Town wapo wengi tu.Kuna Bob Edga alikimbia Dar,wapi Jacky Pemba?Ndama ndio hivyo tena ana kesi,Muzamil Katunzi ..yaani hawa wote ni malimbukeni tu,na ushamba ndo unawalostisha
Bob edgar alinaniihiwa baada ya kula mke wa mtu akahama mjini
 
Alikuwa dereva wizara ya mifugo kipindi fulani
Nilikuwa namkubali tu kwa kujua kuongeza sifuri
Ndomana alikuwa anaonekana pedeshee fulani

Ova
Sahihi kabisa alikuwa mifugo na amemwendesha sana wazir wa mifugo wakati huo Dr Titus kamani pale maeneo ya vetenari

Jamaa n mjanja mjanja pia MTU wa watu sana hana makuu

Sijui kwa sasa yu wapi huyu mwamba

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
yule jamaa alikuwa anamiliki hiace kibao mjini dsm zilizokuwa zinaitwa madinda trans yule aliyekuwa anaongozwa kupewa big up na bendi za kibongo enzi hizo. Yule aliyekuwa mme wa mcheza show maarufu wa twanga pepeta asha madinda? Jamb amefulia mbaya huwezi amini yupo dodoma now anaishi sehemu 1 inaitwa mnadani now ni dereva wa tamisemi
Kwa hiyo akishafulia wewe unapata faida gani?
Umeleta Uzi huu hapa ili iweje?
 
Sahihi kabisa alikuwa mifugo na amemwendesha sana wazir wa mifugo wakati huo Dr Titus kamani pale maeneo ya vetenari

Jamaa n mjanja mjanja pia MTU wa watu sana hana makuu

Sijui kwa sasa yu wapi huyu mwamba

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Sana mtu mmja shap sana
Ali achana na aisha, aisha akaangukia kwenye mahusiano na muuza - - mmja anaitwa ibra hyo ndy alimfundisha aisha kvuta na kumuaribu
"unajua watu wengi walingia kwenye matumizi ya unga wengine Wanakwambia ukivuta kdg unachelewa kkujoaa wkt wa tendo la ndoa basi mamb vagarant"
Ila Enzi za aisha ilikuwa balaaa na shepu lke
Twanga

Ova
 
Npo humu kitambo,hii ni accnt nyingne. Na sijaja kujitetea wala kumtetea,nawachana tu... Maisha kutafuta sio kutafutana,komaa utoboe
Ndio,wakaushe kuongelea maisha ya watu....
Sio wakaushe, hiyo ndiyo gharama ya umaarufu. Ya ukweli na ya uongo yote yataongewa juu yako. So, wewe uki_panick wala watu hawajali. Hata hivyo sio siri umaarufu wake umekufa kama bendi za dansi bongo.
 
Sana mtu mmja shap sana
Ali achana na aisha, aisha akaangukia kwenye mahusiano na muuza - - mmja anaitwa ibra hyo ndy alimfundisha aisha kvuta na kumuaribu
"unajua watu wengi walingia kwenye matumizi ya unga wengine Wanakwambia ukivuta kdg unachelewa kkujoaa wkt wa tendo la ndoa basi mamb vagarant"
Ila Enzi za aisha ilikuwa balaaa na shepu lke
Twanga

Ova
Mwanae amekua sana siku hizi....hivi anajisikiaje anaposikia story za wazazi wake...dah....kinondoni ni noma
 
:A S 13::A S 13::A S 13: hufahamu kwamba maisha ni kupanda na kushuka?.....Au kushuka na kupanda...?

Uko sahihi sana

Watu wengi hawajui the same guy kesho anaweza kupanda tena

Ndio maisha na ndio maana tunapumua
 
Back
Top Bottom