Mnamkumbuka huyu dada!!

Mnamkumbuka huyu dada!!

Adui yako muombee njaa! Atatia adabu kiulaiiiiiiiiiiiiiiini!
 
Sasa ale wapi?
Mhshimiwa Gama kasema ni mlokole".......kumuona igunga ndo munahukumu kuwa si mlokole?"
Uzuri wa walokole wa CCM wengi huwa wanajua timing ya kuwa mlokole na timing ya kula!
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
Kwa hiyo kwa kumuona igunga ndo munahukumu kuwa si mlokole?, kipimo chenu cha ulokole/si ulokole ni kipi?, igunga hakuna walokole?, CCM hakuna walokole?!, kwenye jukwaa la siasa hakuna waliookoka?, nielewesheni ama sivyo kaeni kimya kwani nyie hamuna mizani ya imani.

Hajistiri kama walokole walivyomuahidi Mungu. Huwezi kutmikia mabwana wawaili pepo na malaika. Huyu amedhalilisha ulokole. Walokole msiipie kura CCM kama Bakwata vile!!!
 
CCM wanaharama bwana, they know how to utilise people's njaaaa! That is their winning strategies.,...
 
Nadhani ni Katika harakati za kutafuta maisha bora....haya weeeeeeeeeeeeeee
 
Money money money itanirudisha hili tuwe wote,kumbuka njaa mbaya kumbuka njaa mbaya
 
Masikini weeeeeeeeeeee,chacahandu wa CCM kwenye kampeni na wamemuharibu.Ninasema hivi ukimchezea mungu utaumbuka na bado!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
hana jipya, anaangaika angaika tuuu......kutafuta umaarufu kwa nguvu.
 
kwenye ngawira hakuna....tena kwa magamba mfuasi!!
 
Back
Top Bottom