Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
nachukia mtu anayeloa kwapa,unakuta mtu kaulamba but kwapa lote limeloa,hapo usmart wote unapotea...Kwapa limeloa.
Ha ha ha ha yupi huyo mkuu?Kijana kafanana sana na dadayake yule mwenye tofauti na kimambi.
Amekaa kimya sana, sema maisha ya Canada ni mazuri, wengi wanaisifia sana Canada.Alioa mzungu sasa yuko Canada
LindaHa ha ha ha yupi huyo mkuu?
Nasikia mabinti mkiona mwanaume anakata mauno namna hii mnachanganyikiwa, eti ni kweli?Mauno ya uzazi
Sio kweli. Wanaume ndo mnachanganyikiwagaNasikia mabinti mkiona mwanaume anakata mauno namna hii mnachanganyikiwa, eti ni kweli?
nachukia mtu anayeloa kwapa,unakuta mtu kaulamba but kwapa lote limeloa,hapo usmart wote unapotea...
Ohoooo!!!una maana gani?Sio kweli. Wanaume ndo mnachanganyikiwaga
Nyie ndo mnadata mwanamke akikata maunoOhoooo!!!una maana gani?
Kuna mauno ya kikeni na kiumeni... Haya ni ya jinsia pinzani [emoji15] [emoji15]
Kama sikosei huyu jamaa alikuwa anaitwa Richard na alishiriki kwenye Big Brother Africa. Sijui alipoteleaga wapi. Naona amepiga "ugimbi", sasa anakata mauno kama hana akili nzuri vile. Ha ha ha pombe siyo chai.
Feri tena mkuu, mbona nasikia yupo Canada na mkewe Mzungu?Uyu jamaa yupo feri kwa sasa ni mvuvi mzuri maarufu sana pale feri.kwa sasa yupo kwenye mchakato wa kuyavuta mabilioni yake ya big brother kutoka uswizi
Ha ha ha ha ha, kwahiyo unasema hapa jamaa kaharibu?Kuna mauno ya kikeni na kiumeni... Haya ni ya jinsia pinzani [emoji15] [emoji15]
Duh!!!mtu akivaa suti huwa anatanguliza shart ndio linafata koti la suti sasa lilowe shart hadi koti huyo nafikiri atakuwa na bomba kwenye kwapa.Wengine utakuta kavaa suti lakini kwapa zimelowa.
hahahahahaaSio kweli. Wanaume ndo mnachanganyikiwaga