Mnamkumbuka huyu jamaa anayekata mauno?

Mnamkumbuka huyu jamaa anayekata mauno?

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
4,720
Reaction score
6,957

Kama sikosei huyu jamaa alikuwa anaitwa Richard na alishiriki kwenye Big Brother Africa. Sijui alipoteleaga wapi. Naona amepiga "ugimbi", sasa anakata mauno kama hana akili nzuri vile. Ha ha ha pombe siyo chai.
 
Kuna mauno ya kikeni na kiumeni... Haya ni ya jinsia pinzani [emoji15] [emoji15]
 
Uyu jamaa yupo feri kwa sasa ni mvuvi mzuri maarufu sana pale feri.kwa sasa yupo kwenye mchakato wa kuyavuta mabilioni yake ya big brother kutoka uswizi
Feri tena mkuu, mbona nasikia yupo Canada na mkewe Mzungu?
 
Back
Top Bottom