Mnamkumbuka yule kamanda aliyesema anao ushaidi wote wa kumfunga Mbowe?

Mnamkumbuka yule kamanda aliyesema anao ushaidi wote wa kumfunga Mbowe?

Watu walitoa ushahidi kuwa Mh. MZEE WETU ni FISADI NGULI na bado watoa ushahidi wakamfanya agombe uraisi MZEE WETU. Ndo itakuwa kaushahidi ka mwela mmoja kamfunge MWAMBA?
 
Yeah nhe, ushahidi wa kumfunga Mr.Mbowe anao as if yeye ndio Judge, nchi hii imejaa mijitu katili sana na miezi hii ya mfungo eti nayo inafunga kuomba toba!,nchi kugeuzwa centre ya money laundering, human trafficking DCI yupo clueless kabisa!
 
Back
Top Bottom