Exile
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 1,528
- 3,823
JamiiForums ipo kwa ajili ya mambo mbalimbali, nje ya yote inawaunua vijana kufanya biashara zao humu na kupunguza ugumu wa maisha.
Lakini wote mashahidi september 06 mwaka huu JF ilifungwa rasmi na kuacha usumbufu mkubwa kwa watumiaji hasa wafanyabiashara,
Hoja yangu kwanini zile account zinazo sifu na kupigia kampeni wale walifungia mtandao zinakuja humu kuleta machapisho yao ilhali hawaitaki JF na watumiaje wake kwanini msifunge account zenu humu kuliko kutuletea kero, tena ilibidi MELO azipige ban