Bado unaungaunga dots tu au sio?....
Kwa ili Mods wamezinguaHata mimi wamiliki wa JamiiForums wananishangaza sana! Yaani kuna CHAWA zipo humu zinajiachia tu, na wakati serikali yao imeufungia huu mtandao kwa hili!
Huu nauona kwa upande wangu kama ni ukondoo wa kiwango cha juu sana. Hawa Kima wote walitakiwa wapigwe BAN mpaka hizo siku 90 zipite.
Changamoto sanaHata mimi wamiliki wa JamiiForums wananishangaza sana! Yaani kuna CHAWA zipo humu zinajiachia tu, na wakati serikali yao imeufungia huu mtandao kwa hili!
Huu nauona kwa upande wangu kama ni ukondoo wa kiwango cha juu sana. Hawa Kima wote walitakiwa wapigwe BAN mpaka hizo siku 90 zipite.
Na mbaya zaidi hizo chawa hata zikiingia humu bado zinakuja kwa nyondo as if there's nothing happened,huwa najiuliza hivi nikwamba Maxence Melo anawaogopa au niaje ?JamiiForums ipo kwa ajili ya mambo mbalimbali, nje ya yote inawaunua vijana kufanya biashara zao humu na kupunguza ugumu wa maisha.
Lakini wote mashahidi september 06 mwaka huu JF ilifungwa rasmi na kuacha usumbufu mkubwa kwa watumiaji hasa wafanyabiashara,
Hoja yangu kwanini zile account zinazo sifu na kupigia kampeni wale walifungia mtandao zinakuja humu kuleta machapisho yao ilhali hawaitaki JF na watumiaje wake kwanini msifunge account zenu humu kuliko kutuletea kero, tena ilibidi MELO azipige ban
Naunga mkono hoja.Maxence Melo ondoa maudhui ya kampeni maana jf imefungiwa Tanzania, yafute ili ccm wakajibrand huko whatsapp
Wamekuwa na makwazo sanaNa mbaya zaidi hizo chawa hata zikiingia humu bado zinakuja kwa nyondo as if there's nothing happened,huwa najiuliza hivi nikwamba Maxence Melo anawaogopa au niaje ?
Jamaa zinaviburi hadi wanaboa
Max, upole umezidiHata mimi wamiliki wa JamiiForums wananishangaza sana! Yaani kuna CHAWA zipo humu zinajiachia tu, na wakati serikali yao imeufungia huu mtandao kwa hili!
Huu nauona kwa upande wangu kama ni ukondoo wa kiwango cha juu sana. Hawa Kima wote walitakiwa wapigwe BAN mpaka hizo siku 90 zipite.
Kwa kweli wamiliki na wasimamizi wa jamii forums wana ukondoo wa hali ya juu sana! Yaani hizi ng'ombe zote zinazounga mkono ujinga, zilitakiwa zipigwe pini mpaka hizo siku 90 zipite.Max, upole umezidi