Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Manara ametusaidia toka akiwa bado Simba na baadaye walipomfukuza aliendelea kutusaidia. lakini naona kwa sasa mnamwona kama hana mchango kwa Yanga hapa ilipo. Nimeona hata kwenye harusi haji mmweka mbali na hamumpi ushirikiano mkubwa na heshima yake. tukumbuke ametutoa mbali sana.