Mnamtenga sana Manara, kumbukeni mara nyingi alivyotusaidia kushinda

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Manara ametusaidia toka akiwa bado Simba na baadaye walipomfukuza aliendelea kutusaidia. lakini naona kwa sasa mnamwona kama hana mchango kwa Yanga hapa ilipo. Nimeona hata kwenye harusi haji mmweka mbali na hamumpi ushirikiano mkubwa na heshima yake. tukumbuke ametutoa mbali sana.
 
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›bado hajasema πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamani nilitaka nianzishe uzi kwa ajili ya hili la Manara...
Yani Yanga walijitenga kabisa nae..

Hata kumpa recognition tu hakuna yanii..
Kama nakumbuka manara ndo alimwita Hamisa siku ya utopolo pale stejini
Ila niliona wanasalimiana na AziZ vzr pale mbele...
Kingine kuna muda walikuwa wanacheza miziki pale Marioo alikua anaimba baadae Gara b akamwambia Marioo awaimbie wananchi beat ilipoanza ya wimbo wa yanga Manara na mkewe wakaondoka kwenda kukaaa..
Yani huyo Manara ni kama Chama tuu walinyea Kambi...kambi zimeshasafishwa watu wameingia..hawana nafasi tena hawana rahaaa...hahaha
 
Hatari sana, sasa watakuwa wanajuta kimya kimya.
 
Usaliti ni kitu kibaya sana.
Vijana wa Leo ogopeni usaliti.

Manara.
Chama.
Mkude
Baleke.

Hawa ni mfano wa vijana wasaliti wanalipwa kutokana na Tabia zao.
 
Kwan timu haishindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…