Mnamuonaje cheed benz

Mnamuonaje cheed benz

KJ07

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
2,370
Reaction score
5,381
Habari za wakat huu leo nilitaka tutoe mawazo yetu kutokana na hali ya kimziki ya cheed benz haswa baada ya kutoka katika uraibu wa madawa ya kulevya
Je ameanza kurudi kweny form au bado kuna jitihada zifanyike kumrudisha kwenye mstari
Nawasilisha wakuu

Chidi Beenz.jpg
 
View attachment 2058996
Kuhusu mziki hawezi kurudi kuwa kwenye peak aliyokuwepo kipindi kile. Kila kitu na muda wake na muda wake ushapita. Ila nafurahi sana napomuona yuko fit akiwa na rafiki yake TID.
Napenda anavyomzungua TID
 
ila nilichojifunza katika usanii usitegemee pesa yake kwa 100% maana kuna rise and fall
 
Huyo madawa hajaacha,, hima kapumzika for so long au kapunguza dozi, au anagonga mzigo ila anazingatia misosi kwa kuwa siku hizi riziki kidogo anapata,, ni mara ngapi katangaza kuacha madawa,, madawa hayaachiki kirahisi hasa kwa mtu aliyeyabwia zaidi ya nyundo kumi,, na hilo yeye mwenyewe kashawahi kusema
 
Habari za wakat huu leo nilitaka tutoe mawazo yetu kutokana na hali ya kimziki ya cheed benz haswa baada ya kutoka katika uraibu wa madawa ya kulevya
Je ameanza kurudi kweny form au bado kuna jitihada zifanyike kumrudisha kwenye mstari
Nawasilisha wakuu

View attachment 2058996
"Dar es salaam bila Chuma ts not.....Dar es salaam bila King Kong w'back mikono juu.... "
 
Huyo madawa hajaacha,, hima kapumzika for so long au kapunguza dozi, au anagonga mzigo ila anazingatia misosi kwa kuwa siku hizi riziki kidogo anapata,, ni mara ngapi katangaza kuacha madawa,, madawa hayaachiki kirahisi hasa kwa mtu aliyeyabwia zaidi ya nyundo kumi,, na hilo yeye mwenyewe kashawahi kusema
kwani hiv madawa yanatengenezwa hpahpa nchn au yanatoka nje maana hayaish na yanaendelea kuharib vjana kila leo
 
Kila her kwake, Ila peak Ile ilikuwa poa, msafara wa magar Kama rais, utarudije?
 
kwani hiv madawa yanatengenezwa hpahpa nchn au yanatoka nje maana hayaish na yanaendelea kuharib vjana kila leo
Hayawezi kuisha maana ni biashara yenye pesa nyingi. We fikiria Mexico jeshi la wauza madawa wana zana za kivita kali kali kuliko hata jeshi la serikali. Maafisa polisi wako kwenye payroll ya madrug lords
 
Bado uyo,ukimuangalia na kumsikiliza kwa makini utagundua bado anacheza kwenye mstari wa chaki ya uwanja wa ngada.
 
kwani ngada ni madawa ya kulevya mi najua bangi,cocaine,heroine na mirungi ndo baadh ya madawa
 
hizi ngoma Dar es salaam stand up na bongo fleva ni shidaa
 
Huwa nacheka sana kile kipindi chao yeye na TID
 
kwani hiv madawa yanatengenezwa hpahpa nchn au yanatoka nje maana hayaish na yanaendelea kuharib vjana kila leo
Ni biashara inayosemekana kuwa inafanywa na watu wenye nguvu kubwa sana kisiasa na kiuchumi.

Biashara hii kukoma labda Roho mtakatifu aingilie kati.
 
Habari za wakat huu leo nilitaka tutoe mawazo yetu kutokana na hali ya kimziki ya cheed benz haswa baada ya kutoka katika uraibu wa madawa ya kulevya
Je ameanza kurudi kweny form au bado kuna jitihada zifanyike kumrudisha kwenye mstari
Nawasilisha wakuu

View attachment 2058996
Umesikiliza album yake mpya lakini?..

Jamaa anajua Sana yani upstairs Yuko vizuri.. kingine madawa huwezi Acha ghafla lazima uache Kwa process mdogomdogo yani.

Angekuwa anatumia tayari tungeona na kusikia Mambo negative kibao

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom