Tangu asubuh nmefungua duka, utazani nauza maji ya kunawisha watu mikono mimi jamani?
hii mara ya nne ndoo inaisha najaza watu wanakuja wanauliza bidhaa nawatajia bei hawanunui kazi kunawa maji ya moto na kusepa au mmeambizana yakuwa mimi ndo mwenye maji ya moto kwa hiyo mnakuja kunawa na kusepa.
kesho naweka pilipili na ntaweka ndo tatu hapa mbili ziko safi moja yenye Pili pili endapo mteja atakuja hasipo nunua mimi namwelekeza anawe maji ya pili pili ili mkome. corona sijaileta mimi.