Mnanawa maji ya moto lakini hamnunui. Dawa yenu inachemka njoo tena kesho muone

Mnanawa maji ya moto lakini hamnunui. Dawa yenu inachemka njoo tena kesho muone

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Tangu asubuh nmefungua duka, utazani nauza maji ya kunawisha watu mikono mimi jamani?

hii mara ya nne ndoo inaisha najaza watu wanakuja wanauliza bidhaa nawatajia bei hawanunui kazi kunawa maji ya moto na kusepa au mmeambizana yakuwa mimi ndo mwenye maji ya moto kwa hiyo mnakuja kunawa na kusepa.

kesho naweka pilipili na ntaweka ndo tatu hapa mbili ziko safi moja yenye Pili pili endapo mteja atakuja hasipo nunua mimi namwelekeza anawe maji ya pili pili ili mkome. corona sijaileta mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalazimisha Watu Kununua bidhaa mbovu kwakua tu umeweka tumaji twamoto
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Serikali lazima nayo ichangie huduma kwa wafanya biashara
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asante kwa taarifa mkuu kuanzia kesho sinawi tena maji yako
 
Kwa hiyo mkuu unataka watz wenzako wapate maambukizi ya Corona wakati maji yapo hapo dukani kwako?
 
Kumbe ndo we ulikuwa unaniangalia kama mavi wakati naondoka kisa cjanunua ndizi kwenye hicho kibanda chako
 
Back
Top Bottom