Mnanenepa sana wadada

Mnanenepa sana wadada

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
7,553
Reaction score
3,081
Unakutana na binti mzuri cute, perfect figure, tumbo hamna shape saafi makalio si haba na kila kitu kingine anacho.

Unasema ngoja nijikite mazima unatangaza ndoa anakuwa wako.

Bwana wee hata miaka miwili haijapita binti kanenepa ajabu, na kitambi kina mtoka mvuto hamna tena na anaanza kuwa mvivu hata katika mambo yale ya msingi.

Mabinti tunzeni afya zenu, punguzeni ma junk food na mnapopewa offer bar msiagize kuku mzima kama uwezo wako ni kula kipaja kimoja ,ukiwa binti hutakiwi uwe na kitambi, na kuzaa sio kisingizio coz Jlo na Angelina Jolie wana watoto pia :biggrin:
 
Tatizo huku kwetu mtu akiwa mnene ndio anaonekana ana 'afya' na anakula vizuri. We huoni hata wanaume mivitambi inavyo ning'inia? Mwendo wa kitimoto, mbuzi foil, kuku na bia changanya na supu ya makongoro, mtori kwa chapati.. We unategemea nini?
 
hamna cha kurishika wala nini....nikuangalia tuu nini unakula basi na mazoezi kidogo
 
Mimi kwa upande wangu kula ni option!Kwa siku nakula mara moja, ila kama nina amani sina stress nanenepa!Cha muhimu watu tuzingatie mazoezi sana
 
yaani kwa sasa nipo 72 kg hzi raha mnazotupa tufanyeje sasa
 
Raha ndio mu enjoy ila na gym muende mkatoe mafuta machafu:lol:
yaani nilikuwa 65 juzi tu hzi holiday hzi zingeendelea sijui ingekuweje? jeans zangu hata hazinienei bwana full hasara
 
Ni bora mwanaume awe na kitambi maana kitampendeza, ila sio mwanamke. Kuna wanawake wengine wanafumuka utadhani...
 
​jitahidi kumuongezea stress mkeo kwa kuoa mke wa pili sidhani ka atanenepa.
 
Tatizo huku kwetu mtu akiwa mnene ndio anaonekana ana 'afya' na anakula vizuri. We huoni hata wanaume mivitambi inavyo ning'inia? Mwendo wa kitimoto, mbuzi foil, kuku na bia changanya na supu ya makongoro, mtori kwa chapati.. We unategemea nini?


wengine hudhani kunenepa ni dalili za kufanikiwa kimaisha.teeeeeeeeeeh
 
Mwanamke wa kiafrika lazima ninenepe bwana, **** ****, guu guu, nyonga nyonga kweli.
 
Jamani kila m2 kwa raha zake na starehe zake kama cjalalamika unene wangu unanisumbua wewe tatizo lako ni nn?ila ahsante kwa ushauri,nikizaa pia nibaki vile vile eh?
 
Back
Top Bottom