Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
- Thread starter
- #41
hilo jukumu la kupanga uzazi si mmewakabidhi kina dada, so mkubali na matokeo yanayoambatana na 'miundombinu' ya kupanga uzazi.
Freema Agyeman,
Sio wote wanaonenepa kwa kutumia dawa za uzazi wengi wao ni hali ya kujitupa na kujisahau ,by the way r u Ghanian?