Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
- Thread starter
-
- #21
Jamani kila m2 kwa raha zake na starehe zake kama cjalalamika unene wangu unanisumbua wewe tatizo lako ni nn?ila ahsante kwa ushauri,nikizaa pia nibaki vile vile eh?
mwanamke minyama babu
mwanamke minyama babu
yaani kwa sasa nipo 72 kg hzi raha mnazotupa tufanyeje sasa
minyama ipo kwenye potential area tu mkuusawa, lakini hiyo minyama inatakiwa iwe kwenye maeneo stahili tu.. Siyo minyama hadi tumboni, mtambi huo,, lol
72?!
aisee do something before it's too late..!
Unakutana na binti mzuri cute, perfect figure, tumbo hamna shape saafi makalio si haba na kila kitu kingine anacho.
Unasema ngoja nijikite mazima unatangaza ndoa anakuwa wako.
Bwana wee hata miaka miwili haijapita binti kanenepa ajabu, na kitambi kina mtoka mvuto hamna tena na anaanza kuwa mvivu hata katika mambo yale ya msingi.
Mabinti tunzeni afya zenu, punguzeni ma junk food na mnapopewa offer bar msiagize kuku mzima kama uwezo wako ni kula kipaja kimoja ,ukiwa binti hutakiwi uwe na kitambi, na kuzaa sio kisingizio coz Jlo na Angelina Jolie wana watoto pia :biggrin:
Ni bora mwanaume awe na kitambi maana kitampendeza, ila sio mwanamke. Kuna wanawake wengine wanafumuka utadhani...
nani kakudanganya kuwa kuwa wenye vitambi hawana mvuto? Hujajua raha ya kitambi cha binti wewe... Sie wengine ndo ugonjwa wetu huoUnakutana na binti mzuri cute, perfect figure, tumbo hamna shape saafi makalio si haba na kila kitu kingine anacho.
Unasema ngoja nijikite mazima unatangaza ndoa anakuwa wako.
Bwana wee hata miaka miwili haijapita binti kanenepa ajabu, na kitambi kina mtoka mvuto hamna tena na anaanza kuwa mvivu hata katika mambo yale ya msingi.
Mabinti tunzeni afya zenu, punguzeni ma junk food na mnapopewa offer bar msiagize kuku mzima kama uwezo wako ni kula kipaja kimoja ,ukiwa binti hutakiwi uwe na kitambi, na kuzaa sio kisingizio coz Jlo na Angelina Jolie wana watoto pia :biggrin:
Ni bora mwanaume awe na kitambi maana kitampendeza, ila sio mwanamke. Kuna wanawake wengine wanafumuka utadhani...
Khaaa! Smile anza kufanya mazoezi... Hzo kg ni nyingi asee!
Tatizo hili ni kwa wanaume mpaka wanawake, wazee kwa vijana. Kuna watu wanakula mchana utadhani hana uhakika wa kula baadaye. Kula kula kula ndo mavitambi hayo!
Mazoezi jamani kwa mji wa Dar yataka moyo. Wengi watu wa kawaida hawawezi kuweka mashine za mazoezi nyumbani. Una chumba kimoja nyumba imejaa ndi hata pa kuruka kamba hakuna. Uswazi mashimo barabarani!
Tabu nyingine foleni ukitoka kazini saa 11 unafika nyumbani saa mbili usiku na unalala unaondoka saa 11 asubuhi. Mazoezi tunayoyazungumzia jamani ni yepi? Na msiseme ya kufanyia chumbani.
Uduni na umasikini wa ki TZ na mazoezi wengi hawawezi. Jamaa mmoja aliamua ku jog mtaani kwako. Barabara mashimoooo. Si akaingia kwenye shimo alianguka na kitambi chake pwaaaa. Zaidi ya hayo MOI wakampokea na kumpa POP. Hajarudia!
Cha muhimu-watch your diet!