Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
- Thread starter
-
- #41
hilo jukumu la kupanga uzazi si mmewakabidhi kina dada, so mkubali na matokeo yanayoambatana na 'miundombinu' ya kupanga uzazi.
Now, this is another story, for another dayWananenepa mpaka staili za mwanzoni hawawezi tena........:A S embarassed::A S embarassed:
kwani mlo ndo unafanya mtu anenepe mi nadhani kurelax tu kwenye maisha banakwakweli suala la diet mi ndo limenishinda kabisaa..nakula mashallah!...naanzia jikoni mpaka vikipangwa mezani. Mazoezi ndo kabisaaa hayajawahi hata ku-cross my mind...ila kilo zangu hazitishi sana.
Kwenye ndoa, wakumthibiti uzito mke ni mumewe...kama wamjaza tu mi-protein ya kufa mtu kila sikuuu...kisha unmwambia ameze midonge ya uzazi. Lazima anenepe sana... Unamnenepesha mwenyewe kwa kumletea machips then unaenda kum-hadithi kwa rafiki zako...# tabia mbaayyaaaa!!
Kwakweli suala la diet mi ndo limenishinda kabisaa..nakula mashallah!...naanzia jikoni mpaka vikipangwa mezani. Mazoezi ndo kabisaaa hayajawahi hata ku-cross my mind...ila kilo zangu hazitishi sana.
Kwenye ndoa, wakumthibiti uzito mke ni mumewe...kama wamjaza tu mi-protein ya kufa mtu kila sikuuu...kisha unmwambia ameze midonge ya uzazi. Lazima anenepe sana... Unamnenepesha mwenyewe kwa kumletea machips then unaenda kum-hadithi kwa rafiki zako...# Tabia mbaayyaaaa!!
Kila kitu ukiamua inawezekana.Hata uswazi kuna shule za msingi mabazo zina viwanja na vijana wengi huwa wanafanya mazoezi.halafu wengi wa vijana hawa wana moyo wa upendo ,wakiona mdada au mmama ameenda huwa wanamsaidia.Watanzania tuache vijisababu.......tubadili tabia na tufanye mazoezi yanasaidia sana.
mwanamke minyama babu
Hahahahahahaha
minyama sio kote ni kwenye potential areas mkuuwewe tabasam! Nilikua naenda msalani, nime'break baada kuiona hii commet ! Yako nisingejisikia pleasure kama ningeenda sijaisemea hii, umen'rusha "eti mwanamke minyama" hembu angalia ile minyama ya mbavu inavyokuaga ! Sometyms ina draw marinda flani mpaka nje ya nguo! Tambi nalo hua tumbo kama linataka kuanguka kwa mbele! Inshort husababisha " loss of appetite "
Wewe Tabasam! Nilikua naenda msalani, nime'break baada kuiona hii commet ! Yako nisingejisikia pleasure kama ningeenda sijaisemea hii, umen'rusha "eti mwanamke minyama" hembu angalia ile minyama ya mbavu inavyokuaga ! Sometyms ina draw marinda flani mpaka nje ya nguo! Tambi nalo hua tumbo kama linataka kuanguka kwa mbele! Inshort husababisha " loss of appetite "
Tatizo hili ni kwa wanaume mpaka wanawake, wazee kwa vijana. Kuna watu wanakula mchana utadhani hana uhakika wa kula baadaye. Kula kula kula ndo mavitambi hayo!
Mazoezi jamani kwa mji wa Dar yataka moyo. Wengi watu wa kawaida hawawezi kuweka mashine za mazoezi nyumbani. Una chumba kimoja nyumba imejaa ndi hata pa kuruka kamba hakuna. Uswazi mashimo barabarani!
Tabu nyingine foleni ukitoka kazini saa 11 unafika nyumbani saa mbili usiku na unalala unaondoka saa 11 asubuhi. Mazoezi tunayoyazungumzia jamani ni yepi? Na msiseme ya kufanyia chumbani.
Uduni na umasikini wa ki TZ na mazoezi wengi hawawezi. Jamaa mmoja aliamua ku jog mtaani kwako. Barabara mashimoooo. Si akaingia kwenye shimo alianguka na kitambi chake pwaaaa. Zaidi ya hayo MOI wakampokea na kumpa POP. Hajarudia!
Cha muhimu-watch your diet!
Unakutana na binti mzuri cute, perfect figure, tumbo hamna shape saafi makalio si haba na kila kitu kingine anacho.
Unasema ngoja nijikite mazima unatangaza ndoa anakuwa wako.
Bwana wee hata miaka miwili haijapita binti kanenepa ajabu, na kitambi kina mtoka mvuto hamna tena na anaanza kuwa mvivu hata katika mambo yale ya msingi.
Mabinti tunzeni afya zenu, punguzeni ma junk food na mnapopewa offer bar msiagize kuku mzima kama uwezo wako ni kula kipaja kimoja ,ukiwa binti hutakiwi uwe na kitambi, na kuzaa sio kisingizio coz Jlo na Angelina Jolie wana watoto pia :biggrin:
minyama sio kote ni kwenye potential areas mkuu
Kila mtu na raha zake wewe utapenda mnene wengine wembamba basi ilimradi fujo mtaani...
late where...?....mimi nina 91...ndio najitahidi hapa hata zifike 85......
...Vitoto vya tembo