Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mfugo wangu umekimbia na mboga, na sina mbadala; sasa mnanisaidiaje wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wazee hao 1950s-70s wanazisambaza fb😂Bongo kuna vitu vinatrend kiajabu sana...
Hiyo picha leo nimeiona zaidi ya 7×70 na haina uspesho wowote
Na zipo zenye mfanano wa hiyo kama 6 hivi Yani ajabu sanaBongo kuna vitu vinatrend kiajabu sana...
Hiyo picha leo nimeiona zaidi ya 7×70 na haina uspesho wowote
Na zipo zenye mfanano wa hiyo kama 6 hivi Yani ajabu sana
Teknolojia imerahisisha mamboMambo ya kutengeneza Photoshop za AI hizo
Wasamehe 7x70Bongo kuna vitu vinatrend kiajabu sana...
Hiyo picha leo nimeiona zaidi ya 7×70 na haina uspesho wowote
Wanasema, dunia ipo kiganjaniBongo kuna vitu vinatrend kiajabu sana...
Hiyo picha leo nimeiona zaidi ya 7×70 na haina uspesho wowote