shadrackAmri
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 275
- 4,064
Ha ha kwamba unaweza kupewa Tata uliendeshe. Hivi Tata ni gumu sana kuendesha mkuu?Lazima Uwe Na Leseni Hai, Isiyopungua Umri Wa Miaka Nadhani 5
Uwe Unajua Kuendesha Gari Vizuri, Aina Mbalimbali Unaweza Kupewa Tata
Ada Yao Sijajua Ila Haitapungua Laki 4.5
Lazima Uwapo Masomoni Ufauru Nadharia Na Vitendo
Usipofanya Vema Aidha Nadharia Ama Vitendo Utalazimika Kurudia Mtihani Huo Ndiyo Uweze Kupata Cheti.
Tata Siyo Gari Ngumu Nimesema Nikiwa Na Maana Uwezo Wako Uwe UnajitoshelezaHa ha kwamba unaweza kupewa Tata uliendeshe. Hivi Tata ni gumu sana kuendesha mkuu?