Mnao Copy Nyuzi zangu na kupeleka Twitter na YouTube Mjue nami nipo huko basi toeni Credit Mnachanganya watu

Wa we wana acknowledge
 
Duhhhh...🤔
Pole sana mkuu, walimwengu ni wabaya sana
 
Wewe ndo ulieshinda ule uzi wa "Umuhimu wa Dira ya taifa"* ambayo juzi anko rashidi (gwajiboy) kautema kama ulivyo bungeni bila credit???
 
Hata nyuzi za The bold wahuni walikopi sana akamua kuverify account yake Jf kutumia majina halisi Habibu B Anga
 
Mimi ndiye li Buyobe lenyewe, mtajijua ili mradi napata viewers ....
 
Mbaya sana ,inabidi ifike mahali Hawa copy and paste wahojiwe Kwa kichapo kikali
 
Unakuta mtu kavaa Miwani na Suti utasema Profesa kumbe Mwizi kama wezi wengine Analisha familia kwa Kucopy na Kupaste...Mi kuna Mtu humu Anaiba comments Zangu Bado np Kwenye Uchunguzi soon Ntamuanika hapa!
 
Huyo buyobe mbona analalamikiwa sana sio mara moja wala mara mbili.
 
Sasa mtu akiitwa kubinywa korodani atasema vitu gani!...
 
Huyu Buyobe si analalamika naye kuibiwa news. Kumbe naye ni mwizi tu la wezi wengine
 
Usikute wewe Ndo Buyobe mwenyewe unatuchezea tu akili zetu.
 
Alafu hafanyi hata marekebisho yeyote angalau anakopi mpaka nukta hata typing errors
Mkuu nilikusema nikajua nawe ni mwizi..samahani Ila Yule Buyobe ana lugha chafu pia Kama utacomment kinyume nae afu ni moja ya watu wanaona Maisha kayapatia kisa tu yupo Tanroads PUA PUA PUA PUA PUA
 
Swadakta.....

Huo wanaoufanya ni WIZI na ushamba wa nafsi pamoja na tabia......

#Siempre JMT🙏
 
👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…