Bashite huyu huyu anaechorongwa kama msonobari?? Dah! Mwaka huu bashite atateseka sana. Sijui nguvu ya kupiga biti anaitoa wapiUngeangalia wapi pa kwanza Ku post, alafu nasikia katiwa mkwara na Bashite kafuta hahaha
Kumbavu weweMimi ndiye li Buyobe lenyewe, mtajijua ili mradi napata viewers ....
Mlete mkuuKuna siku nmeonyeshwa Uzi Wangu wa Mchepuko unasambaa uko Twitter,
Jamaa kaukata kata vipande vipande,
Anaurusha kidg kidg, kila Mara anawaambia wasomaji wake kua itaendelea kesho yake.
Nilimpuuza
Ila Hebu ngoja niutafute uko Twitter, nkimpata ntauleta hapa nimuexpose uyo jamaa kiazi[emoji3525]
Mkuu ungeweka link ya huo uzi wako huko twitter ili aaibike na ungeweka maelezo na time kua jamaa ame copy & paste kutoka JF.Nimembana kanichapa block
Na sikuoi ...Kumbavu wewe
Huko twita kuna ma-celebrity wana followers wengi na likes za kutosha akiongea hata pumba anataka umuunge mkono ukienda kinyume ni either upewe block au akuporomoshee matusi....halafu wengi huwa wanatengeneza picha kuwa wameyapatia maisha kweli kweli🐒Mkuu nilikusema nikajua nawe ni mwizi..samahani Ila Yule Buyobe ana lugha chafu pia Kama utacomment kinyume nae afu ni moja ya watu wanaona Maisha kayapatia kisa tu yupo Tanroads PUA PUA PUA PUA PUA
We jamaa bure kabisa Poor!,pua !! Poor kabisaNa sikuoi ...
Basi nitakuoa, aya acha kulalamika, nitakuoa.We jamaa bure kabisa Poor!,pua !! Poor kabisa
NimeuwekaMkuu ungeweka link ya huo uzi wako huko twitter ili aaibike na ungeweka maelezo na time kua jamaa ame copy & paste kutoka JF.
Kama amekuchapa block ingia kwa jina lingine na endelea kumbana kwa klujifanya siyo. mwambie umeambiwa na una ushahidi. Akikupiga block tena, ingia kwa jina lingine!Nimembana kanichapa block